Sunday, April 3, 2011

HEBU SIKILIZA HAPA JINSI WALIVYOJUA KUIGIZA...KAAZI KWELIKWELI


Muda mrefu nimekuwa mkimya bila kusikiliza miziki kwa ajiliya machungu yaliyonipata katika upekuzi wangu nimekutana nao hau kwa kweli wamenifanya nitabasamu kiduchu.. sijui nanyi wenzangu mtajiunga nami???

6 comments:

  1. Offcourse,these are my comedians,inafurahisha sana,na nyuso zao za kipoleeeeee wenyewe. mh

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli wanaburudisha kwa kiasi kikubwa na kukufanya mtu usahau kwa muda mahangaiko yako

    ReplyDelete
  3. sure inapendeza but wengi wanaibuka na kupotea haraka sijui wasaidiweje?

    ReplyDelete
  4. wimbo,nimzuri sana hasa manenoyake.kwa kipindi hiki cha kwaresima(mfungo) nimuhimu kusikiliza nyimbo kama hizi zina kupa ufunuo fulani kiimani.upande wa nduguzangu wa komedi wamewakilisha vizuri nakuonyesha hali halisi ya wimbo vikiambatana na ujumbe ulio wawezesha kuvaa husika sawa sawa kisanii. kaka s.

    ReplyDelete