Monday, March 21, 2011

UJUMBE: AFRIKA /TANZANIA YETU!!!



Nimeusikiliza wimbo huu leo zaidi ya mara kumi na mwisho nimeona ni vema nikiuweka hapa ili na wenzangu muusikie....

7 comments:

  1. kawimbo kazuri,hasa tumaneno twake.pia mirindimo yake inafanana na ule wimbo wa mama ntilie.ujumbe umefika. ila bado naamini tz yetu ina amani hakuna haja ya kuogopa .kaka s

    ReplyDelete
  2. Upepo Mwanana! karibu tena

    Kaka S! Nakubaliana nawe ni kawimbo kazuri mno sauti zimetulia pia. Kuhusu TZ tusiogopa kwani kuna imani...nakubali lakini inabidi kujiandaa tusijisahau...

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta,ukisimamia upande wa wanasaikolojia,wakati mwingine unacho kifikiri sana cha weza kukutokea,ama unaweza kukijengea mazingira ya kitokee.kwa Tanzania kitu kikubwa cha kufanya,ni ku hakikisha watu wanabadili mitazamo yao juu ya maisha,unavyo yafikiria maisha leo hii Yasinta nitofauti na ilivyo kuwa kabla hujaja kuishi ulaya.mfano mdogo, ukimpa mtanzania wa leo chai bila sukari utaonekana wewe ni mbaya mchoyo,lakini kumbe si sukari tu yenye kuleta utamu kuna asali.Asali ambayo tunaiona kamakitu sha kishamba,sanasana inatumika kama dawa,kumbe sihivyo nimtazamo tu wa mtu.anyway asante mwee!.kaka s

    ReplyDelete
  4. Asante da Yasinta wimbo mzuri na maneno muruwa!je nani atatufuta machozi wa Afrika?.Mungu ibariki Afrika!.

    ReplyDelete
  5. Nice song,ndo nausikia leo kwa mara ya kwanza

    ReplyDelete