Wednesday, March 16, 2011

SASA NI MUDA WA CHAKULA CHA MCHANA.......

Karibuni chakula jamani....

19 comments:

  1. Nguna imetulia vizuri kweli hiyo!

    Juisi ya ukwaju ipo?

    ReplyDelete
  2. Bonge la ugali,huo lazima utakuwa wanyumbani tu, usukumani/unyamwezini, mija upo hapo? hapo ungeweka na tumaziwa twa mgando ,mayuwane mbona panakuwa hapatoshi. kaka s.

    ReplyDelete
  3. Kitu cha dagaa...hao ni wa mwanza au!!

    HALAFU ACHA KUTUTEGA MAANA TUNAWEZA FIKA HUKO KUPITIA FIBRE.

    ReplyDelete
  4. Nitakutumia juisi ya ukwaju @Mt. Simon


    Dah! bonge la nguna! Dagaa kusherehesha maneno!

    ReplyDelete
  5. Dadangu unanitamanisha manake tangu asubuhi napiga chai, ...TUPO PAMOJA!

    ReplyDelete
  6. Mt.Simon Juisi ya ukwajiu wala usiwe na shaka:-)

    Kaka.S! Patatosha tu. Mija ebu jitokeze basi hapa.....

    Kaka Macharia Yaani haswa hawa dagaa ni wa huko Mwanza. Na wala usiwe na shaka we kuja na tumbo wazi na utarudi na gukitambi gwa aina:-)

    Chacha!!Ha ha ha Kumbe utanisaidia na Juisi ya ukwaju sio safi sana. Kama niliwahi kusikia huli samaki je unakula dagaa? lakini hakuna shida kuna kachumbali...lol

    emu3!:-) pole kwa kukutamanisha

    ReplyDelete
  7. Duuh,mate yananidondoka,hicho ki2 adimu sana.

    ReplyDelete
  8. Duuuh iyo menu imenikumbusha ugali wa bongo,yani nimeumiss kweli hadi nimemiss ghafla

    ReplyDelete
  9. Eti mpaka nasikia harufu ya dagaa...lol

    ReplyDelete
  10. Hapo aliyekuwa hauyupo na lake halipo!!watu tuna njaa bwana nani kamwambia akacheze mbali?
    @Da yasinta leo tutashiba kwa macho humu, asante sana kwa kututega!

    ReplyDelete
  11. Kwa wale tunaodandia chakula kwa mama ntilie wa mitaani mbali na home... du, inabidi tunadake mate kabla hayajadondoke kwenye key board!!

    ReplyDelete
  12. Du!! Umenikumbushia mwanza kwa mama yangu kipenzi Prisca, yaani hawa dagaa nilikuwa nawala mpaka tumbo linakuwa ndindindindi!! na ndondondo!!

    ReplyDelete
  13. Edna! Si utani ni kitu adimu sana kwa hiyo ukikipata inabidi ugawane na wenzako ndo maana nimefanya hivyo:-)

    s & k! Vyakula vya nyumbani ni vitamu sana.
    PASSION4FASHION.TZ! kama ni hivyo we nawe maji tu hiyo mikano na ukaribia tujumuike...
    Rachel! Basi kama una njaaa kubwa ndo vizuri kwani hutarudi njaa hapa na Rachel sijawatega:-)

    Chib! una sababu ya kudondosha mate ni kuutwanga tu mpaka unashiba...
    Jirani yangu MM! Nafurahi kama umepata kumbukumbu :-)

    Fita! Umenichekesha kweli kushiba ndindindi:-)

    ReplyDelete
  14. Huo ugali Yasinta!! Na hizo dagaa na kachumbali..., kwanza kabla ya yote naomba kuuliza ni kazi ya mikono ya nani?

    ReplyDelete
  15. hapo maji ya kiroba ya hamsini basi,mchuzi mate.no steress

    ReplyDelete
  16. Asante sana unanitamanisha hadi mate yanidondoka

    ReplyDelete