Sunday, March 13, 2011

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!


Malaika wapo lakini wakati mwingine hawana mabawa. Na sisi tunawaita wao MARAFIKI. WOTE MNAPENDWA!!! JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE

9 comments:

  1. bilashaka,jumapili njema nawewe.umetoka chicha. kaka s.

    ReplyDelete
  2. asante na wewe pia jumapili njema

    ReplyDelete
  3. Tangu nilipoanza kusoma blogu sijawahi kusoma ujumbe wenye ukweli na nguvu kama huu! Hongera sana!

    Maana yake sisi binadamu ni watoto waMungu. Hivyo, sisi wenyewe ni miungu wadogo.

    Kuwa malaika ni sawa na kujishusha tu; lakini wengi wanafikiri malaika lazima awe na uwezo wa kupaa. Wanawadharau binadamu wenzao ambao baadhi yao ni malaika wao.

    Kwa hiyo nakushukuru Malaika Wangu kwa siku ya leo, NaNgonyani! Mungu azidi kukupa uwezo wa kutafakari na kuelewa maandishi matakatifu, tena siyo ya dini ya Kikresto tu, bali Kiislam, Buddhism na kadhalika... maana yake Mungu wetu ni mmoja tu!

    Mimi nakupenda sana, Mdogo Wangu ulipo huko Ulaya, familia yako nzima bila kumsahau Baba wanyumba yako: amebarikiwa kuwa na mke kama wewe!

    ReplyDelete
  4. ASANTE KWA UJUMBE MZURI.. NAWE NI MMOJA KATI YA MALAIKA WANGU

    ReplyDelete
  5. Swahili na waswahili! Ahsante!!

    Nawe Edna pia ahsante.
    Mzee wa Changamoto amina.
    Kaka S. Mie jumapili yangu iliishia kazini. Ahsante kwa kuona nimetoka chicha:-)
    Mcharia :-)
    Mirabell! kwanza karibu sana hapa kibarazani. Pia Ahsante
    GMP! Zaidi ya yote nasema Ahsante
    Njonjo nawe shukrani kwa kuniweka kuwa ni malaika wako:-)

    ReplyDelete