Saturday, February 12, 2011

PICHA YA WIKI:- Shule Nyingine Bwana.....​.. Ukipeleka Mtoto wa Kiume, Akirudi Likizo Analegeza Macho Na Kubana Sauti..... Nani Alaumiwe??​??

Kaazi kwelikweli !!!JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE!

10 comments:

  1. Mmmh hi kali, analegeza macho na kubana puaaaaaaaaaaaaa ha ha ha ha toto la kiume. ndiyo maana siyapendi maisha ya mjini mweeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. Jamani, hii kweli hatari, si mnaona kule, basi limeandikwa..... High school! Ha hii ni balaa.

    ReplyDelete
  3. dada yangu una vituko wewe!! Haya mi sina jibu! Wiki endi njema wewe na familia!!

    ReplyDelete
  4. Kumbukeni si kila neno ni lenye maana kwa KISWAHILI.

    Na tukumbuke kuwa statistic zinasema WASENGE wengi sio wale wenye kuonyesha dalili za kikekike kitabia na WASAGAJI wengi wamekaa kidemu kisawasawa ingawa nia na madhumuni ya kusugua ni kumsukua kilawalawa nyama mwanamke mwenzao.


    Tusijaribu kurahisisha MAMBO complicated kwa kuyaweka kirahisi kihivi hasa kwa wajuao hata katika wasagaji asilimia kubwa kuna ajisikiaye msichana ambaye hujiremba kisichana na MWANADADA ambaye hujiweka kiumeume kimuonekano ambaye ndiye MSUGUAJI!

    Ni mtazamo tu wa swala!:-(

    ReplyDelete
  5. Mh, Mi nadhani leo kule Egypt wametuharibia hali ya hewa, maana sasa hivi natoka kule Michuzi blog, nimekutana na NYOKO primary school, nikasema ngoja nimsalimie Dada hapa nakutana na ? leo kazi ipo.

    ReplyDelete
  6. Yani mtu akiuliza umesoma shule gani si atafikiria mara 10 kujibu, manake akisema shule kwa jina hilo basi keshafikiriwa vibaya.

    ReplyDelete
  7. umenifanya nicheke sana mimi ninayoijua hii moja ipo musoma inaitwa mwisenge shule ya msingi

    ReplyDelete
  8. nadhani mtu aeipa jina hiyo shule akili yake ina ufa, mm mtoto wangu simpeleki shule kama hiyo, watasoma hzi hzi za kata, Na serikali yetu nadhani wakati umefika wa kupitia hata maana ya majina ya shule hizi za binafsi

    ReplyDelete
  9. Hapa naona nilipitwa, nafikiri shule hii haipo :-)
    Ila wakati naangalia matokeo ya kidato cha nne, hakika nilikutana na majina ya shule, mengine yanatisha kabisa, na wanafunzi wake walikuwa wamefeli haswaaa

    ReplyDelete