Baba yetu uliye Mbinguni,
Jina lako litukuzwe,
Ufalme wako ufike,
Utakalo lifanyike , duniani kama Mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
Utusemehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika vishawishi, lakini utuokoe maovuni.(Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele Amina)
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA MWANZO MWEMA WA WIKI...TUTAONANA TENA WAKATI MWINGINE
Amen!
ReplyDeleteAAAmen.
ReplyDeleteMmmmh!
ReplyDeleteHivi hii ni jumapili ya ngapi kwa kalenda ya kiislamu?:-(
kipengere cha,utusamehe makosa yetu,kama nasisi tunavyo wasamehe walio tukosea. kazikwalikweli.ninapo sali sala hii,nakumbuka wale wote walio nikosea na kuwasamehe japo ningumu.asante kwa sala hii wewe kabinti ka kingoni. kaka s
ReplyDeleteNawe pia dada Yasinta, j2 njema sana na wote walio karibu nawe!
ReplyDelete