Wakati mwingine tunaweza kuyaona maisha hayana maana/hakuna haja ya kuishi. Lakini hakuna Mungu ambaye kila wakati yupo kwa kubadili hali hiyo. Tusipoteze imani /tumaini yetu/letu, kwa Mungu kwani mwisho atakuja kubadili hiyo hali. Kumbuka hata kama mti uliukata kuna tumaini /imani siku moja utaota tena.
Kwani [tumekuja na nini duniani]? Kitabu cha Ayubu (JOB 1:21)
ReplyDeletemh ila sasa
ReplyDeleteni kweli ndugu yangu maisha hayatabiriki ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo
ReplyDeleteMungu yupo na anasaidia kwa mja wake. Cha muhimu ni kutokukata tamaa, ukiua kuwa unatakiwa uihangaikie dunia yako kama vile utaishi milele. Na muombe sana kama vile utakufa muda wowote ule.
ReplyDeleteMaisha ndivyo yalivyo, kuna kupanda na kushukam yote ni kwa aili yetu. Ukipata shukuru mungu na ukikosa shukuru mungu!
Mlongo apa umenikumbusha Lilambo enzi hizo hii kazi ni kali sana nawasifu wakina mama wa naishi mazingila kama haya hawa ni wanaweke wa shoka.
ReplyDelete