Monday, January 3, 2011

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA MFALME MROPE


Nakutakia kila la kheri sio leo tu ila kila wakati utakapofanya jambo/mambo yako. Kaka huyu anapatikana hapa. HONGERA SANA KWA SIKU YAKO YA KUZALIWA!!! .

8 comments:

  1. Hongera kaka Mrope. Uwe na miaka mingi na baraka nyingi na mengine mengi mazuri. Ameni.

    ReplyDelete
  2. Hongera saaaana Bro, uzidi kukata miaka uwaone wajukuu wa wajukuu zako!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana mkuu, kumbe siku kama hiyo ulikuwa kichanga. Baraka zikushukie mkuu, uwe mfalme wa kikwelikweli!

    ReplyDelete
  4. hongera sana mkuu! Tukaribishane hao samaki nchanga...lol!

    ReplyDelete
  5. Hongera kaka Mrope!ubarikiwe sana.

    ReplyDelete
  6. happy birthday bro

    ReplyDelete