Saturday, December 4, 2010

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO NA YA PILI YA MWEZI HUU !!!

Nimegundua kazi tano ngumu katika dunia hii:-

1. Kumpaka LIPSTIK KUKU.
2. Kumpakata TEMBO.
3. Kumpenda MENDE.
4. Kumvalisha nguo MBU.
5. Na la mwisho KUKUSAHAU wewe.

Hebu tumsikilize Mr. Ebbo na mwimbo wake wa mbado


JUMAMOSI NJEMA SANA KWA WOTE.

4 comments:

  1. Katika kumpenda MENDE sikubali!


    Si unajua mende ni kumbikumbi wa makabila kibao DUNIANI?

    ReplyDelete
  2. Mimi nitajaribu kumvalisha nguo mbu!!! Kila la kheri dada na wiki endi!!

    ReplyDelete
  3. @Mt Simon....unaweza kutompenda mende ila ukapenda maji yake.....lol!

    ReplyDelete
  4. @Kadinali Chaha: Unamatusi wewe! Si unajua kunawatoto hapa halafu eti unaongelea mapenzi ya unyevunyevu!:-(

    ReplyDelete