Ijumaa njema!! UHURU, hivi ni lini mtu anakuwa huru???
Wimbo huu kila nikiusikiliza napatwa na furaha lakini pia napatwa na huzuni kiasi kwamba natokwa na machozi. Sijui wenzangu pia mnajisikia hivyoo:-( HATA HIVYO NAWATAKIENI MWISHO WA JUMA MWEMA!!!!!!!
Ijumaa njema kwako pia MDADA!
ReplyDeleteAhsante sana Da Yas na wewe twakutakia Ijumaa njema...
ReplyDeleteHeri na mimi niseme, IJUMAA NJEMAA MDADA...Mhhh,mdada...!
ReplyDeleteMtu huwa Huru pale tu anapotenda haki na kutendewa haki kwa kadiri ya jamii husika inavyoamini kuwa ni sahihi.
ReplyDeleteIjumaa njema na kwako Mama wa "Maisha na Mafanikio"
shukran ijumaa njema na kwako pia!!!
ReplyDelete