Friday, November 5, 2010

DUKA LA MTANDAO

Habari njema kwa Ndugu zangu Watanzania mnaoishi nje ya Tanzania, Tumefungua Duka la Mtandao(Onlineshop) la kuuza Chai na Kahawa ya Tanzania tuu. linaitwa Chai & kahawa Online Shop(www.chaikahawa.com) na liko Stockholm, Sweden.tunaweza kuuza na kusambaza chai na kahawa kwa mteja yeyote aliyopo nchi yeyote duniani. wote mnakaribishwa Kununua na kujivunia bidhaa zetu.

Kwa Mawasiliano,Maoni,Ununuzi wasiliana nasi kwa kutumia email info@chaikahawa.com au piga simu,tuma ujumbe mfupi(sms) + 46762878341.

NB:website iko kwenye Flash, kama utapata tabu kuifungua download flash adobe

4 comments:

  1. Mhh chai, halafi vishata, halafu vitumbua...mmmh

    ReplyDelete
  2. emu-three ! we acha tu yaaani ninavyojidai sio kunywa chai tu hapana pia kuitangaza nchi yangu. Doli doli ......

    ReplyDelete
  3. Ingekuwa BOMBA kweli kama ingekuwa KWELI wafaidikao zaidi katika ziitwazo CHAI ZA TANZANIA au KAHAWA za TANZANIA wangekuwa ni kweli ni WATANZANIA.

    Na naongea kama mjukuu wa BABU ambaye aliamua kuacha kulima KAHAWA baada ya miaka zaidi ya SITINI ya kuwa na shamba la KAHAWA Upareni:-(

    ReplyDelete