Friday, October 22, 2010

Swali:- Ni ubunifu au?

Yale yale ya kutembea na kujisikia haja kubwa au ndogo na kwenda kwenye nyumba ya mtu na kusema naazima choo. Kwa hiyo mtu huyu kaamua kufanya ubunifu wake kuwa na choo yake kwenye baiskeli yake. Lakini sasa hapa maji yakimwishia itakuwaje?


4 comments:

  1. Ubunifu mwingine kama huu ni shaghalabagala!

    ReplyDelete
  2. hahaaa,huo ubunifu naona haujakamilika...coz haja itakayotoka hapo itaelekea wapi sasa? au ndio itamwagika popote pale? matokeo yake ni uchafuzi wa mazingira`mweeee.

    ReplyDelete
  3. mmmh huu kweli ubunifu sasa atatembeaje hivyo, inaonekana huyo mtu anaenda haja sana.

    ReplyDelete