kicheko ni njia ya mawasiliano, ambayo yanaonyesha ni ukaribu gani tunao na watu wengine. Hata kama mtu anacheka peka yake, kuna tafiti zinaonyesha kwamba hata ukiangua kicheko mara 30, kama tupo pamoja na watu wengine, kuliko tunapokuwa peke yetu.
Kwa kawaida kicheko kinaonyesha ni upamoja gani gani tunao na wale tunaocheka nao. Ni kinyume na nyani ambao wanacheka tu kwa furaha, kicheko cha binadamu kinaweza pia kumchokoza mtu , kicheko kinaweza kuwa cha dhihaka au hisia nyingine. Kicheko wakati mwingine kinaweza kuwa ni njia ya kupata huruma au huzuni pia.
Inaonekana kwamba sehemu kadhaa katika ubongo zimetawaliwa na kicheko. Mwaka 2001 huko Uingereza katika majaribio yao ya NMR X-RAY waliweza kuona sehemu ndogo ya kulia na kushoto ya paji la uso ilionekema ni zenye vichekesho/utan zaidi, lakini hizo aina za tofauti za utan hazifanyi kazi kwenye ulande moja.
Wakati utani unaposomeka, kwa kupima walakini upande mwingine wa mbele wa paji la nyuso kama ilikuwa ya kuchekesha. Inaonyesha kuna chumba cha tatu cha ubongo juu ya paji la nyuso. Ambayo kicheko kinakuja chenyewe.
Pia inaonyesha kuwa mwaka 1998 huko USA, wakati wao wenye vifaa vya umeme vilimfanya msichana wa miaka 16 bila shida kuangua kicheko. chanzo Illustrerad Vetenskap nr 15/2010.

Mmmmh!
ReplyDeleteWengine hucheka kwa sababu wamefurahi,,,na wengine hucheka kwa sababu wameona wengine wakicheka...wengine hucheka kwa unafiki.
ReplyDeleteMwisho wa siku vyote ni vicheko.
Alafu umependeza kwenye hako kapicha mdada.....
hahahahaha jamani mimi mwenyewe huwa napenda sana kucheka my dia.
ReplyDeleteMwaka 2001 huko Uingereza katika majaribio yao ya NMR X-RAY waliweza kuona sehemu ndogo ya kulia na kushoto ya paji la uso ilionekema ni zenye vichekesho/utan zaidi, lakini hizo aina za tofauti za utan hazifanyi kazi kwenye ulande moja.
ReplyDelete=> Tunazungumzia nini? Proof - reading ni muhimu...
Wakati utani unaposomeka, kwa kupima walakini upande mwingine wa mbele wa paji la nyuso kama ilikuwa ya kuchekesha. Inaonyesha kuna chumba cha tatu cha ubongo juu ya paji la nyuso. Ambayo kicheko kinakuja chenyewe.
======> ??????
Pia inaonyesha kuwa mwaka 1998 huko USA, wakati wao wenye vifaa vya umeme vilimfanya msichana wa miaka 16 bila shida kuangua kicheko. chanzo Illustrerad Vetenskap nr 15/2010.
====> ?????
Kama mada huiwezi, don't put it here. It is depressing kusoma habari ambayo haina kichwa wala miguu. Kind of sad!!!
kwa kuwa tunajisikia kucheka, ama?
ReplyDeleteAhsanteni wote kwa umoja wenu. Upendo Daima!
ReplyDeletePia usisahau kucheka kunamwongezea mtu maisha, ukikasirika kuna sumu inajizalisha mwilini, sinautaalamu inaitwaje lakini fahamuni hilo,
ReplyDeleteNa kwa sisi Wakristo Kucheka/Kutabasamu ndiyo kanuni yetu.