Sunday, September 12, 2010

Napenda kuwatakieni Jumapili njema kwa wimbo huu: Kwani mwenzenu nimeupenda sana wimbo huu haya karibuni kuusikiliza!!!

Ni ujumbe mzuri! JUMAPILI NJEMA SANA KWA WOTE!!!!.

5 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia kawimbo kananikumbusha mbali sanaaa.

    ReplyDelete
  2. Asante sana , na kwako pia. Huku bado tunasherehekea Eid ni long weekend usiombe.

    ReplyDelete
  3. kawimbo haka ndiyo nilifungulia muziki wakati wa harusi yangu.kaka s

    ReplyDelete
  4. Oh, mimi sikuweza kuwepo hewani wikiend hii siunaua tena Idd, lakini sijachelewa kusema `ilikuwa Jumapili njema sote'
    'Kweli nimekuchagua wewe uwe wangu...' ukiimbwa kila mmoja nafsini mwake anamfikiri mwenzake...nakuikumbuka siku ile au kutaraji siku hiyo nawe uwe miongoni mwa wanaharusi...
    Ahsante dada yetu kutupa kibao hicho!

    ReplyDelete
  5. Ahsante Edna, ila wikiend yangu yote nimekuwa kazini.

    Kaka Nicy Naona umerudi, Ahsanta nawe pia.

    Usiye na jinaau kaka S! nimefurahi kukukumbusha kawimbo kaako/kenu.

    emu.3! Nafurahi kama sikukuu ya Idd ilikuwa murwa kwako na familia kwa ujumla. Ahsante wote na natumai mlikuwa na jumapili njema na kumbukeni Mungu anatupenda wote.

    ReplyDelete