Sunday, September 26, 2010

Jumapili njema ndugu zanguni!!!



MUNGU AW E NANYI WOTE POPOTE MTAKAPOKUWA NA AWE NANYI KWA LOLOTE MTAKALOFANYA NA MFANYALO!!!! JUMAPILI NJEMA !!!!!

3 comments:

  1. Nanukuu ``MUNGU AW E NANYI WOTE POPOTE MTAKAPOKUWA NA AWE NANYI KWA LOLOTE MTAKALOFANYA NA MFANYALO!!!!´´ mwisho wa nukuu.

    Naamini si kila mtu angapenda ashuhudiwe na MUNGU kila atakapokuwa na kila atakachokuwa anafanya kwa kuwa kuna maeneo kifanywacho na KILICHOKITAMU SANA ni DHAMBI na kama wakati huo unauhakika uko na MUNGU unaweza kujikuta unakatiza shughuli ambayo ingefanya siku yako uione bomba leo JUMAPILI.

    Swali:
    SI unakumbuka maeneo yadaiwayo yana uwepo wa MUNGU inashahuriwa na MAJEMADARI wa dini uchunge tabia zako na ikibidi uwe umevaa angalau nguo za heshima?

    Ni mtazamo tu huu!

    ReplyDelete
  2. Asante sana Dada yangu, nawe pia J2 njema sana na familia yako yote!

    ReplyDelete
  3. Mt. Simon! ahsante sana mtazamo wako nimekuelewa. nina imani ulikuwa na jumapili nje.

    Kaka Baraka! Nwe nina imani ulikuwa na ju2 njema kabisa . Ahasante. UPENADO DAIMA.

    ReplyDelete