Saturday, August 21, 2010

Twendeni Afrika kwetu: Mama Afrika!!!




JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE NA PIA MWISHO WA JUMA MWEMA!!!

3 comments:

  1. Unajua AFRIKA ina hazina na vivutio vingi, huu wimbo umebeba zawadi kubwa hasa kwa nyie mliobahatika kuishi nje ya Afrika, mkipata likizo msibakie huko njooni mtupe changamoto za maisha

    ReplyDelete
  2. emu-three! usiwe na shaka usione watu hawapo Afrika.Ukafikiri ni kweli si kweli hawapo lakini mawazo na kila wafanyapo wanawaza Afrika.

    Nyahbingi worrior! Nimekumbuka Afrika yangu niipendayo .

    ReplyDelete