Ni jambo la kumshukuru Mola kwa kututunza tangu siku ile tuzaliwapo mpaka kila mwaka kuongeza mwaka mmoja zaidi. Na leo ni siku kubwa sana kwako. Maana umetimiza makumi matatu sasa ni safari ndefu sana. HONGERA SANA. NA MOLA AKUBARIKI PIA AIBARIKI FAMILIA YAKO.
Mwanablogu makini, mchambuzi yakinifu, mtoa hoja thabiti......
ReplyDeleteMubelwa;
Wewe ni uthibitisho halisi wa ile methali ya Kinaijeria isemayo kwamba "hekima haipatikani katika mvi tu"
Nakutakia miongo mingine mingi mizuri huko mbeleni. Hongera kwako pamoja na familia yako.
HAPPY BIRTHDAY!!!
Hongela musee ya changamotoz!
ReplyDeleteTunampa hongera sana, na jaribu kukumbuka siku kama ya leo ulikuwaje, jamani tunatoka mbali
ReplyDeletehongera mzee wa changamoto mungu akuzidishie miaka mingi zaidi yenye mafanikio mema
ReplyDeleteHappy Birthday Mubelwa, Mungu akujalie maisha marefu yenye furaha na afya tele
ReplyDeletehellow,
ReplyDeletemi pia nakutakia maisha marefu yenye amani na upendo, mungu akuzidishie tena makumi mia
happy birthday bro
nice time.
tchao.
Happy birth day Mubelwa,
ReplyDeleteUmekua na kufikia wapi kwa sasa?
Take care,
Huyu bwana tuna bahati kuwa naye kwenye blogu.
ReplyDeleteNiishie hapa kwa wasifu wake. Ila tu nisisahau kumtakia siku njema ya kuzaliwa!
Mubelwa T. Bandio..........!!!!!!
ReplyDeleteThis Is Black=Blackmannen
Nachukua nafasi hii nawashukuruni wote mliopita katika kibaraza hiki najua nilikwa likizo lakini nilikuwa naiba iba muda. Nami nnasema tena HONGERA SANA KAKA MDOGO MUBELWA MIAKA 30 sio midogo. Ubarikiwe sana na pia familia yako.
ReplyDelete