Na mimi nimeona wote mlivaa nguo Nyeusi mkaachia nywele mkapiga goti mkalishika lakini wa kwanza ni Dada Yasinta yuko sweeden na Dada Judith (JayDee)alikuwa Nairobi ,Kenya katka kurekodi Music na Kidumu
Mimi naona kama nikufananisha vitu mlivyofanana ni vingi sana,mpaka mapozi ya kwenye picha,sasa sijui kuna kilichojificha ungependa watu wakiseme....au tukupe mji?
huyu juu ni yasinta,hapa alipo ni kwenye ufukwe ziwani,na huyu chini ni manka,hii picha imepigwa kwenye uwanda wa juu. kitu wanachofanana hapa ni magauni yao ya misiba tu
Mmefanana magauni mapozi na background za picha zenu wote ni kijani flani hivi. Ila sijajua mmefanana anga gani zaidi hebu tuambie we waona mwafanana nini
Mumefanana kisanaa na nahisi nyote mumeitakidi kuwa Afrika mbele, kwa muonekano. Na ni vyema wengi wakaiga kuwa ukienda majuu weka u-frica wako mbele, manake ukijibadili eti ufanane na wao, bado ngozi yako itakusaliti.
Habari za kazi dada yasinta.Sikugundua ya kwamba kama na wewe unapozi kiasi hicho umependeza sana naona kibichi zaidi.Hata j/dee kapendeza sana .kwakweli mmetoka mchicha sana
Na mimi nimeona wote mlivaa nguo Nyeusi mkaachia nywele mkapiga goti mkalishika lakini wa kwanza ni Dada Yasinta yuko sweeden na Dada Judith (JayDee)alikuwa Nairobi ,Kenya katka kurekodi Music na Kidumu
ReplyDeleteMmefanana mapozi na wote mko mahali penye nafasi. Safi sana, ongeza swali da Yasinta kipi ambacho hamjafanana?
ReplyDeleteMimi naona kama nikufananisha vitu mlivyofanana ni vingi sana,mpaka mapozi ya kwenye picha,sasa sijui kuna kilichojificha ungependa watu wakiseme....au tukupe mji?
ReplyDeleteaisee!
ReplyDeletehuyu juu ni yasinta,hapa alipo ni kwenye ufukwe ziwani,na huyu chini ni manka,hii picha imepigwa kwenye uwanda wa juu.
ReplyDeletekitu wanachofanana hapa ni magauni yao ya misiba tu
chukua mji basi, Songea... Tueleze zaidi. Mmependeza hapa, hilo ziwa ni ziwa Nyasa au?
ReplyDeleteMimi naangalia zaidi ya hizo picha....Hamjafanana kimtazamo wa maisha na mafanikio.
ReplyDeleteMmefanana magauni mapozi na background za picha zenu wote ni kijani flani hivi. Ila sijajua mmefanana anga gani zaidi hebu tuambie we waona mwafanana nini
ReplyDeleteMumefanana kisanaa na nahisi nyote mumeitakidi kuwa Afrika mbele, kwa muonekano. Na ni vyema wengi wakaiga kuwa ukienda majuu weka u-frica wako mbele, manake ukijibadili eti ufanane na wao, bado ngozi yako itakusaliti.
ReplyDeleteNi kwamba sisi wote ni waTanzania. Halafu Judith ni mwimbaji na sio mimi.
ReplyDeleteSafi sana Yasinta. Unapendeza mno!
ReplyDeleteHabari za kazi dada yasinta.Sikugundua ya kwamba kama na wewe unapozi kiasi hicho umependeza sana naona kibichi zaidi.Hata j/dee kapendeza sana .kwakweli mmetoka mchicha sana
ReplyDelete