Thursday, July 1, 2010

Tufungue mwezi huu wa saba nahawa Warembo wa kihimba/picha ya wiki hii!!

Kwa kweli ukitaka kupendeza ni lazima uwe mvumilivu. Angalia nywele/rasta za akina dada hawa. Halafu nimeipenda picha hii WAHIMBA wao hawahitaji nguo wapo kiasili kabisa.

8 comments:

  1. Yaaani ni "Saa sita kamili" mchana, saa za Afrika Mashariki, na wala sio saa sita mchana saa za Ulaya.

    T-shirt ikivalia hapo bila sidiria, hadi kufika jioni itakuwa imepata "tobo". "Blacks" wanasifa zao za pekee.

    It's Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  2. uuwi!!!,wako wapi warembo hao nikachumbie jamani....dada Yasinta naomba namba zao za simu....LOL

    ReplyDelete
  3. nadhani nusu ya mwaka huu itaisha vema kwa kumbukizi ya picha hii..lol!

    ReplyDelete
  4. duh, mbona wako uchi???

    kumbe wanawake wasipovaa nguo wanapendeza, yansinta na wewe anza kutembea kama hao

    ReplyDelete
  5. uzuri wa asili wa mwanamke wa kiafrika!! Hakika wamependeza na hizo embe dodo!

    ReplyDelete
  6. Blackmanen! umeniacha hoi:-)

    Usiye na jina hilo ni kabila la himba kutoka Namibia.

    Chacha una maana gani nusu ya mwaka huu utaisha vema?:-)

    Kamala! acha bwebwe wewe!

    Kaka Mrope nawe:-)

    ReplyDelete
  7. Aisee!!!!!!, kwa kweli ni warembo.

    ReplyDelete