Tuesday, June 29, 2010

Maliasili zetu!!!!

Hakuna mnyama ninayempenda kama twiga. Mama na mtoto hapo !!!

4 comments:

  1. Kama unampenda "Twiga", japo hujaeleza sababu yako kuu inayokufanya umpende. Mimi ninahisi kwamba unaipenda sana nchi yako Tanzania, kama mimi ninavyompenda Twiga na kuipenda Tanzania yangu.

    Twiga ni mnyama wa Taifa la Tanzania kutokana na sifa yake ya kuwa mnyama wa amani na urefu wake unampa uwezo wa kuona mbali akiwa porini na kula majani ya juu ya miti ambayo wanyama wengine hawayafikii.

    Twiga hulinda mtoto wake na yeye mwenyewe kwa kutumia pembe zake fupi ambazo haziwezi kumuua mnyama mkali wala binadamu.

    It's Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  2. twiga ni mnyama mmoja mtulivu sana...

    ReplyDelete
  3. hapo mbona kama rangi tofauti? kama ni hivyo kumbe hata wanyama kuna albino?

    ReplyDelete
  4. Blackmanen kwa kweli unaweza kusoma mawazo ya watu ni kweli kabisa nampenda Twiga kwa sasabu hizo ulizozisema.

    Ni kweli Edo ni mtulivu sana.

    Hakuna albina kaka Chacha si mtoto we huoni hata mtoto anapozaliwa anakuwa na rangi kama mzungu na baadaye anapata rangi yake ya kawaida?

    ReplyDelete