Sunday, June 27, 2010

Baada ya kuadimika kwa siku chache nimerudi tena!! na nipo nanyi tena!!!! Jumapili njema wote!!

Karibuni Chai

Karibuni Kahawa pia...

Napenda kuwaomba radhi wasomaji wa kibaraza hiki kwa siku hizi tatu kwa kutopata kitu cha kusoma. Kwa hiyo nimeona niwaombe radhi kwa kikombe xha Chai pia Kahawa. Ni pilika pilika za hapa ba pale. Haya Nawatakieni wote Jumapili njema na Chai åia kahawa njema. PAMOJA DAIMA.!!!! na nawatakieni wote jumapili njema






4 comments:

  1. Tulikukumbuka sana Dada Yasinta...tunashukuru kama umerudi salama. Jumapili njema pia wewe na familia yako kwa ujumla.

    ReplyDelete
  2. karibu tena, ila kipindi hiki cha kombe la dunia, ingawa watu hawataki kusema ni mpira wa miguu, wanaita tu world cup, wasomaji wa blogu wamepungua, macho na masikio ni Afrika kusini tu kwa sasa! Hata mimi nimeathirika kwa kiasi fulani. Bosi wangu yeye ndio kachukua likizo kabisa mpaka mpira uishe!!

    ReplyDelete
  3. Jpili njema na kwako pia nakutakia kila yalio mema

    ReplyDelete
  4. Kaka Baraka nashukuru kama ulinikumbuka.

    Kaka Chib naona maana siku hizi hakuna kabisa changamoto watu wanafurahia mpira lakini najua tupo pamoja.

    Dama M asante.

    ReplyDelete