Sunday, March 7, 2010

NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI HII YA KUMI YA MWAKA HUU NA YA KWANZA YA MWEZI HUU!!!

Ukitaka kula lazima ufanye kazi
Maandalizi ya kupata ugali

Na hapa maandalizi ya mboga
Huyu dada sijui ni nani? kama namfahamu vile:-)







JUMAPILI NJEMA KWA WOTE

4 comments:

  1. Nawe pamoja na familia yako kwa ujumla,mbarikiwe sana.

    ReplyDelete
  2. nawe piaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Asante dadangu nawe nadhani jumapili yako imekuwa njema.

    markus Ahsante.

    Mtakatifu! Natumaini nwe umekuwa na j2 njema pia.
    Jumapili hii imeisha salama na namshukuru Mungu kwa hili. Amina...

    ReplyDelete