Heri wanawake wote duniani/Internationella kvinnodagen
Napenda kwapa pongezi wanawake wote Duniani, kwanza kabisa mama yangu, binti yangu, na marafiki zangu wa kike wote na bila kujisahau mimi mwenyewe. Na pia napenda kuwapa pongezi wanaume pia.WANAWAKE HOYEEEEEEEEE!!!
...Nashukuru kwa kutukumbuka sisi wanaume kwenye salamu zako...WANAWAKE HOYEEE!!
ReplyDeleteOyeeeeee.........li li li liiiiii lyaaa lyaaaa lyaaaaaaaaaa!!!!!!!
ReplyDeleteKaka Faustine. Asante nawe pia!!
ReplyDeleteDa Mija nawe kwa vituko sasa nani anapiga ngoma haya bwana ni siku yetu leo. Ngoja niungane nawe lu lu lulu lyaaaa lyaaa lyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
utamu wa ngoma ni kuicheza ati!
ReplyDeleteOngereni !
Na raia namba wani kasema mwende majimboni mkagombee msingoje vya bwerere ati viti maalumu...lol
...making life better
ReplyDeletetatizo ni laana mliotuletea kwa kudanganyika kumezeshwa tunda la mauti
Hongereni Bibi, Mama na Dada zetu
ReplyDelete