Wow!hongera sana watoto wazuri,kazi nzuri inapendeza kuona watoto wanaonyesha vipaji vyao mapema,mungu atawasaidia mtimize ndoto zenu,hongereni pia wazazi kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Kwa niaba ya C na E napenda kutoa shukrani nyingi kwa pongezi. Ni shughuli kidogo kama unataka kupumzika na wao wanataka kufanya mazoezi. Ila ndo kazi ya wazazi/walezi.
Safi sana!
ReplyDeleteKaka Erick na Dada Camila nawapa shavu!!!!! Kazi nzuri and keep it up!
Eeee bwanaeeeeee!!!!!!!!
ReplyDeleteHongera Camila na Erik,Mungu awasimamie kwa lolote lile mtakalo kulifanya Maishani, Hakika vipaji mnavyo.
ReplyDeletemimi nimeipenda hiyo fidler, masikio yangu yamevutiwa zaidi naye ingawa hao wajuu nao ni wapigaji wazuri wa hivyo vyombo, mwanzo mzuri ingawa mgumu
ReplyDeleteKeep it up my lovely Eric and Camilla....
ReplyDeleteHuo ni mwanzo mzuri katika kufukuzia ndoto zenu
Wow!hongera sana watoto wazuri,kazi nzuri inapendeza kuona watoto wanaonyesha vipaji vyao mapema,mungu atawasaidia mtimize ndoto zenu,hongereni pia wazazi kwa kazi nzuri mnayoifanya.
ReplyDeleteKwa niaba ya C na E napenda kutoa shukrani nyingi kwa pongezi. Ni shughuli kidogo kama unataka kupumzika na wao wanataka kufanya mazoezi. Ila ndo kazi ya wazazi/walezi.
ReplyDelete