Sunday, February 28, 2010

TUMALIZE DOMINIKA HII YA MWISHO YA MWEZI HUU FEBRUARI KWA WIMBO HUU!!



Napenda kuwatakieni wote jumapili/dominika hii kwa wimbo huu. Na pia ni Dominika/Jumapili ya mwisho ya mwezi huu Februari. Duh! Jamani siku zinakimbia kweli. Ok, JUMAPILI/DOMINIKA NJEMA KWA WOTE JAMANI

4 comments:

  1. Na wewe pia jumapili njema wakati huu wa Kwaresma

    ReplyDelete
  2. Asante, ni ujumbe mzuri pia kwa kaka yetu Mlachaombwani.

    ReplyDelete
  3. ASANTE SANA NAWE PIA, J2 NJEMA SANA NA FAMILY YAKO KWA UJUMLA.

    ReplyDelete