Tuesday, February 9, 2010

Msaada:- Tangazo la gari kuuzwa

Hi Yasinta












Vehicle Details

Make:Nissan

Model: MARCH

Model Type: AK12

Color: Pearl White

Year of Manufacture: 2002

Engine Capacity: 1240
Bei: 9.5m
Kwa mawasiliano na kuiona piga 0754082034 (Lulu)

3 comments:

  1. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!February 9, 2010 at 2:09 PM

    nahisi kama naweza kukabeba katika mbeleko na kutembea nako...lol

    je kamelipiwa ushuru?

    samahani naongea kisukuma :-(

    ReplyDelete
  2. Iiiiiiiii Ng'wanambiti duhu tabu we ongea unavyotaka hapa mbona kisukuma ndo mahala pake, si wajua tena ukipenda boga penda na ua lake. Hicho kijigari kimelipiwa ushuru na namba nimezibandika leo mwana wane!!!!!

    ReplyDelete