Tuesday, January 5, 2010

LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA




Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama mpaka kufika siku hii ya leo na kuongeza limwaka limoja zaidi. Namshukuru kwa kuniepusha na mambo mabaya, magonjwa na pia vishawishi.

42 comments:

  1. hongera sana dada mungu azidi kukulinda

    ReplyDelete
  2. Hongera sana sana sana, umefikisha miaka mingapi?

    Stay blessed.

    ReplyDelete
  3. Kila la heri dada Yasinta. Mungu Aendelee kukulinda na kukubariki wewe pamoja na familia yako. Bila shaka miaka mingi iliyojaa furaha na mibaraka ingali mbele yako!

    ReplyDelete
  4. Yasinta nimerudi tena. Unajua nilitoa maoni kabla sijafungua hiyo picha, aiseee huo wimbo umenikumbusha mbaliiiii bagamoyo chuo cha sanaa, Kuna huyo Ndunguru akikuchezea lizombe wote mnazima fegi, halafu kuna Tungi kusaga na Menard Mponda.. hiyo timu ilikuwa ikiingia jukwaani raha ya shule unaiona hii... yaani kwa ufupi you have made my day!!

    Ombi, hebu naomba utuandikie lyrics za wimbo huo maana mimi huwa nayamung'unya tu.

    Once again Happy birthday.

    ReplyDelete
  5. Hongera kwa kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa. Mungu akupe uhai na maisha marefu na baraka tele.

    ReplyDelete
  6. Happy Birthday dada!!! God bless you!!! xx

    ReplyDelete
  7. Hongera sana. Mungu akuzidishie, uendelee kuwa pamoja na walimwengu kwa moyo mmoja.

    Nimesikiliza hizi ngoma. Zimenikumbusha Mfaranyaki, Bombambili, Ruhuwiko, Matogoro, kila sehemu. We wacha tu. Bahati mbaya nilipopita Songea mara ya mwisho, mwaka juzi, nilisahau kununua njuga. Leo hapa ofisini pangekuwa hapakaliki :-)

    Hongera sana.

    ReplyDelete
  8. Mungu akuongezee miaka mingine 100, HONGERA SANA

    ReplyDelete
  9. Hongera sana.
    Unaelekea kwenye kundi la senior citizens :-)

    ReplyDelete
  10. hongera binti weye, ukubwa huo be careful maana unavozidi kukua ndivyo simon mwana wa kitururu anavyokosa kutokwa udenda hovyo

    ReplyDelete
  11. Happy birthday dada, Mungu na akuzidishie miaka mingi zaidi duniani.

    ReplyDelete
  12. HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY TO U,HAPPY BIRTHDAY DEAR YASINTA,HAPPY BIRTHDAY TO U!!!!!!

    ReplyDelete
  13. hongera sana Mungu ajalie afya njema, twakuombea heri na baraka tele na mafanikio katika shughuli zako Happy Birthday

    ReplyDelete
  14. grattis på födelsedagen mamma!
    hongera kwa kutimiza miaka mama!
    happy birthday mum!

    ReplyDelete
  15. Happy Birthday Da Yasinta!

    @Kamala: Umesahau nini FILOSOFI ya Da Mija ya JICHO LA NDANI?

    Kwa jicho la ndani udenda hauishi!

    ReplyDelete
  16. m'pem'pani Nnungu, iye akike bwino wankazi wa Klayson. Ndi chambwino ku'mpem'pa Nnungu, osati chaka chimoji tu.....Lol umenisoma Yasinta?

    MUNGU MKUBWA, YASINTA MKUBWA, JICHUNGE AKUCHUNGE.

    ReplyDelete
  17. hongera dada yasinta ngonyani kwa ku-add limwaka limoja. unakumbuka nilipoongeza limwaka limoja hivi karibuni uliniuliza swali fulani hivi. na wewe je haya mamwaka yamefika mangapi jumla.

    profesa mbele umenichekesha kweli. hao wazungu wangekukoma leo. ngoja nikienda songea ntakutumia kwa DHL.

    ReplyDelete
  18. Happy birthday dada, nakuombea mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe pamoja na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadiri ya mahitaji yako

    Mungu akubariki

    ReplyDelete
  19. Happy birthday dada, nakuombea mwenyezi Mungu akujalie afya njema wewe pamoja na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadiri ya mahitaji yako


    Mwenyezi mungu akubariki

    ReplyDelete
  20. Happy brthday 2 u Yasinta nakuatakia maisha mema na marefu, kila la kheri.

    ReplyDelete
  21. HAPPY BIRTHDAY DADA YASINTA NGONYANI, MUNGU AUMRI MREFU, UISHI KAMA BIBI YANGU KOERO....

    KAKA KITURURU , HUKUBALI TU KUSHINDWA UDENDA HUO SI UTAISHIWA NA MAJI MWILINI KAKA.....

    ReplyDelete
  22. @Da Koero: ushawahi kusikia maswala yamkumbayo KIPENDA ROHO?

    ReplyDelete
  23. HAPPY BIRTHDAY MDOGO WANGU-
    nAKUTAKIA MAISHA MAREFU YENYE BARAKA TELE

    ReplyDelete
  24. Grattis på födelsedagen min kära hustru! Mwl.K

    ReplyDelete
  25. Hongera Yasinta kwa siku yako ya kuzaliwa.xx

    ReplyDelete
  26. Hongera Mdau! Nakutakia miaka mingi duniani.
    Enjoy and keep us informed.
    Faustine

    ReplyDelete
  27. Naamini sijachelewa, Hongera dada yangu Yasinta kwa kuwa mkubwa.
    Mungu akupa maisha marefu na yenye afya wewe na familia yako.

    ReplyDelete
  28. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!January 6, 2010 at 6:35 AM

    Kama alivyo kaka Kaluse, nna imani sijachelewa...HONGELA Da YASINTA!

    Halafu nashindwa kuelewa hii...kwa umri ulokuwa nao mwaka jana ulinyimwa bia na sigara dukani pamwe na kuonyesha kitambulisho.... :-(

    Je mwaka huu si unanyimwa unga wa mahindi? :-)

    ReplyDelete
  29. Nachukua nafasi hii kwa kutoa shukrani zangu za dhati kwa upendo wengu kwa kweli uumeonyesha upendo mkubwa sana kwangu. Na siku hii kwangu imekuwa nzuri kabisa na hii yote imetokana na upendo wenu kwangu ni furaha sana kuwa na ndugu/marafiki kama ninyi mnaojali na wenye upendo kama huu. Nawatakieni nanyi wote pia Maisha na Mafanikio mema. UPENDO DAIMA!!.

    ReplyDelete
  30. Hepi besidei na hongera:"Mwenyezi-Mungu akubariki na kukulinda,pamoja na familia yako; Mwenyezi-Mungu awaangalie kwa wema na kuwafadhili;Mwenyezi-Mungu awaoneshe wema wake na kuwapa amani".Amina

    ReplyDelete
  31. Dada Yasinta Hongera sana, natumaini sijachelewa sana...nilikuwa kijijini! Hongear mno na nakutakia kila mafanikio katika maisha yako...mimi leo ndiyo birthday yangu!

    ReplyDelete
  32. Kaka Mathew asante na wala ujachelewa kwani hata wiki haijaisha na kumbe nawe unatimiza miaka wiki hii pia na pia tupo mwezi mmoja. Hongera kwa sisi watoto wa Januari.

    ReplyDelete
  33. du, asante Yasinta kwa muziki murua kabisa wa kinyumbani! pia hongera kwa siku ya kuzaliwa.

    ReplyDelete
  34. Ahsante sana usiye na jina na uwe na wakatio mzuri na hu mziki wa kujnyumba.

    ReplyDelete
  35. "SIKU HAZINGANDI LAKINI ZINAYEYUKA"

    ReplyDelete
  36. "SIKU HAZINGANDI LAKINI ZINAYEYUKA"

    ReplyDelete