Friday, November 20, 2009

SIJUI HUYU DADA NI NANI KAMA NAMFAHAMU VILE?


Hakika kuna sehemu nimemwona lakini sikumbuki ni wapi tena nimewahi kula naye ugali na matembele. Labada wenzangu mtanisaidia.

15 comments:

  1. Mi simfahamu, ila akili yaniambia ndiye Yasinta Ngonyani-Klaesson.
    Ni akili tu, pengine haina mawasiliano mazuri na macho.
    Ulamwihe?

    ReplyDelete
  2. Huwezi ukakumbuka kula mtu ugali na matembele halafu unadai humkumbuki!!

    Pata ulanzi uzinduke :-)

    ReplyDelete
  3. Nimzuri waasili kilakitu ni natural kwake na mpendaga sana Yasinta
    much love

    ReplyDelete
  4. labda hawa wengine hawajawahi kukusoma ukiwaambia umezaliwa identical twins na huyu dada. ha! ha! ha!

    ReplyDelete
  5. Duh Mdada kaniingiza tena dhambi ya tamaa!:-(


    Ngojea niwahi kutubu kwa kuwa hatujui muda Masiah atakayo rudi na na nasikia kama ni Mkristo ni noma kukutwa umetokwa udenda siku ya mwisho.:-(

    ReplyDelete
  6. Bila shaka yeyote huyo dada ni Yasinta Ngonyani!

    ReplyDelete
  7. Hahahhaha Dada Yasinta hii picha inaonyesha cjui Inlaw alikuwa anakutongoza maana wachezea kuchaaaa!

    ReplyDelete
  8. Huyu dada simjui ila naweza kujua alipo. Ni kama yuko Bar. Yaani Bar na kavaa kimtego. Anaangalia kucha kama vile anaelekea kuanza kuzimung'unya.
    Hii inanipelekea kwenye swali la pili la kwanini alikuwa Bar na linanipelekea kwenye swali la tatu kuwa alikuwa Bar na nani na kisha swali la nne la alikuwa akifanya ama akifanyiwa nini inayomfanya acheze na kuchaze namna hiyo??
    Nami najitumbukiza kwenye maswali zaidi ya majibu yaliyotokea baada ya hapo.

    ReplyDelete
  9. NADHANI HII PICHA ILIPIGWA KABLA SIJAZALIWA.....HATA SIWEZI KUMJUA NI NANI...AHAAAA.......NADHANI ATAKUWA NI NANGONYANI.....LOL

    ReplyDelete
  10. Mi kama namfanananisha vile na mtu sijui ni yeye au mapacha wapo hawa.

    ReplyDelete
  11. Ahsanteni wandugu nimefurahi kusoma maoni yenu yenye kufarahisha na yenye maana. Ntazifikisha salamu kwa aliyekuwa hapo pichani.
    Mnapendwa wote.

    ReplyDelete
  12. hahahaha,
    mimi namfahamu huyu dada,
    ila namezea..

    ReplyDelete
  13. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!November 26, 2009 at 10:37 AM

    Yasinta na wewe kwa kujifaragua...lol

    ReplyDelete