Tuesday, November 17, 2009

NGOJA LEO TUMSIKILIZE MTAKATIFU SIMON KITURURU NA WIMBO WAKE NAMPENDA



Sikujua kama kaka Simon ni mtungaji pia wa nyimbo. Siku njema kwa wote na wimbo huu au ngoja tumsikilize na huu wimbo akiwa akimsifia Hukwe Zawose karibuni:-


4 comments:

  1. ngoja nifungue mjadala kweli watu wanavipaji:- Mt. Simon kwa nini usianzishe bendi yako?:-)

    ReplyDelete
  2. Hehehe yuko so free kwenye camera and so fun to watch!!! kweli aanzishe bendi...atualike akizindua dada Yasinta lol

    ReplyDelete
  3. Candy1! Hapo umenena umesikia Mt. Simon tunasubiri mualiko:-) sijui uko wapi?

    ReplyDelete
  4. Ama kweli nyie mliosifia nikiwapa chansi mnaweza kumsifia hata siafu ana tako nono kuliko mchwa!:-(

    Samahani niliandika HILI wakati naangalia maeneo yenu ya busu manono :-(

    ReplyDelete