Sunday, October 11, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA KWA NGOMA HII MAALUFU KWA KABILA LA WANGONI KUSINI WA TANZANIA KARIBUNI TUBURUDIKE!!

Kunyumba nga kunyumba hata ngati kudahi!!!!

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE NA UPENDO UTAWALE DAIMA MIOYONI MWETU!!

4 comments:

  1. Jumapili njema na kwako mpenzi na familia kwa ujumla.

    ReplyDelete
  2. Usengwili sana Yasinta, lelu unipeliki kunyumba na lelu tina sherehe yivaha sana kuni! bwela tilayi ugali na ngowani!! dominika yabwina na veve!!

    ReplyDelete
  3. Yasinta please, do us some faveur! the other ngoni song by TOT, can you make it a bit little longer, I like kapungu kweiyelayela, kweiyelayela kunani! kweiyelaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Tuselebuke eeeeh tuselebuke eeeehh marahamaraha kamla, Ninapochoka mimi ni hapo tu ninapochoka mimi ni hapo tu marahamaraha kamla........ Yaani niwona raha kweli ngati nivi kunyumba lakini nivili kutali kweli na kunyumba. Ila nikapilikisayi yimbu hizi nipawona panyumba papipi kweli. Haya wangoni muvikwoki.Mpiliki lunyimbo tiwika lepe mpaka timalayi ugimbi....ena ana mamu weeee.....

    ReplyDelete