Thursday, October 15, 2009

MUZIKI NI MOJA YA MAISHA TUMSIKILIZE DADA NURU LEO



Maisha yetu wengine hawawezi kuishi bila kusikiliza mziki hata siku moja na wengine hawawezi kusikiliza redio hata siku moja na wengine kusoma vitabu na magazeti. Kila mtu anapata habari kwa namna ya pekee. Haya leo nimeona tumsikilize Mwanablog mwenzetu Da Nuru the lihgt.!!!!

3 comments:

  1. Sauti imenigomea, nitatafuta mtandao mwingine nisikilize huo wimbo

    ReplyDelete
  2. Fanya hivyo Chib Najua utamfurahia dada Nuru anvyoimba.
    Na pia asante Nuru na pia Chib.

    ReplyDelete