Ni siku nyingine, tarehe nyingine na kaka mwingine anatimiza miaka leo na sisi wote hapa Hammarö. Pamoja na marafiki pia jamaa tunapenda kukutakia HONGERA nyingi kwa siku hii. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA,MJOMBA, SHEMEJI PIA RAFIKI DISMAS.
hongera kaka kwa kutimiza miaka kadhaa, wanasema kwa jinsi unavyoshuhudia rais mpya akiapishwa baada ya uchaguzi ujue kuwa na miaka nayo inasonga mbele.....kaka uzee huo unakuwinda....LOL
hongera kaka kwa kutimiza miaka kadhaa, wanasema kwa jinsi unavyoshuhudia rais mpya akiapishwa baada ya uchaguzi ujue kuwa na miaka nayo inasonga mbele.....kaka uzee huo unakuwinda....LOL
ReplyDeleteHongera sana kaka. Mungu akupe maisha marefu yenye amani, furaha na mafanikio.
ReplyDeleteHongera kwa kutimiza miaka mjomba Dis!
ReplyDeleteNa: Camilla
Hongera Mjomba Disi !!!!
ReplyDeleteSalamu kutoka kwa Erik
Nakutakia maisha mema na mafanikio zaidi ndugu.
ReplyDeleteMAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
San Diego, CA.
Hongera sana kaka kwa kutimiza miaka hii leo,mungu akuzidishie maika 90 zaidi ya kuishi...lol.
ReplyDeleteNi baraka kutimiza mwaka kamili
ReplyDeleteBaraka kwako na MAISHA BORA TWAKUTAKIA
Blessings
Nina ona FAHARI kuwa na kaka nadhani wote mnajua nina kaka watano. Lakini zaidi naona fahari kuwa na kaka, wadogo na dada ambao ni ninyi.
ReplyDeleteHongera kwa siku ya kuzaliwa kaka mdogo Dismas.