Sunday, September 6, 2009

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI HII YA KWANZA YA MWEZI HUU:- JUMAPILI NJEMA

Furaha na tabasamu ni tiba ya maradhi yanayomsonga mwanadamu. Aidha, furaha huonyesha uhai.
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

14 comments:

  1. Nimekuona, hakika umependeza dada....
    Nawe na familia yako nawatakia jumapili njema.

    ReplyDelete
  2. Picha nzuri, na imebeba ujumbe wa bandiko! Shukrani

    ReplyDelete
  3. Dada Yasinta Jag önskar u trevlig söndag och din familj.
    Gud välsigne dig

    Najua umepita hapo

    ReplyDelete
  4. Nawewe pia mpenzi,pamoja na familia yako kwa ujumla.

    Haya mjumbe hauwawi huko nilikotoka unasubiriwa ukajibu maswali,watu wanasubiri maamuzi yako kwa kifupi ni kwamba Fadhy nae kalikoroga huko kwa mama mkwe wake unahitajika ukamsaidie kuomba msamaha, vinginevyo mke atamkosa.

    ReplyDelete
  5. Jumapili njema na kwako pia dada yetu Yasinta na hongera kwa kazi nzuri MWAFRIKA HALISI!!

    ReplyDelete
  6. Hongera dada yetu Yasinta kwa kazi nzuri MWAFRIKA HALISI

    ReplyDelete
  7. Mwanadada umependeza!

    Jumapili njema nawe Mdada!
    Hivi kwanini umeolewa?
    Si ungekuwa tu pekee vijidume tukupiganie?:-(

    ReplyDelete
  8. Shukrani ziwafikie wote na natumaini wote mlikuw na j´pili njema kwani mimi nilikuwa na j´pili njema kabisa ingawa joto lilikuwa si kali sana ila inavumilika na namshukuru Mungu kwa yote. Ahsanteni.

    ReplyDelete
  9. Watu wengine Bwana. Eti huyu rafiki yangu ananiuliza kama hiyo ni pete. Nimemtafutia MAGNIFIER aone vizuri maana nimejitahidi ku-zoom picha anajifanya kipofu.
    Hahahahaaaaaaaa. Asante kwa kuiweka wazi

    ReplyDelete
  10. Mzee wa Changamoto! Je? rafikiyo sasa ameona nini.....LOL

    ReplyDelete