Friday, September 11, 2009

MICHEZO NI MOJA YA MAISHA HAPA NI HUKO HACHIOJI TOKYO

Hapa ni Mtanzania mwenzetu aliyekuwa kwenye mashindano ya karate huko Hachioji Tokyo Japani. Akipokea cheti.

Hapa akina dogo wakiwatoana jasho.

picha ya tatu akina dada nao hawapo nyuma .

2 comments:

  1. Ukijifunza huu mchezo na ukawa unakaa uswahilini kwetu basi raha tu, we unakua unaombea vibaka wakukabe ili uwaadabishe

    ReplyDelete
  2. Kweli hii itakuwa ni silaha nzuri sana ngoja nikajifunze halafu nikiwa nyumbni TZ ntafungua darasa na kuwafundisha akina dada na akina mama wote. Na wabakaji watakoma:-)

    ReplyDelete