Hapa ni wanawake wakiwa katika pozi ni huko Papua New Guninea. Na hapa ni wanaume wa huko huko Papua N ew Guninea nao wakiwa kwenye pozi bila wasiwasi.
DUH....hii mila ingekuwa kwetu sijui ingekuaje...Anywayss ni vizuri kujiweka kiutamaduni zaidi manake kila mtu anasifia chake..Yasinta such a nice blog...One of your no 1 fan hapa
Hawa hawana mambo ya diabetes, magonjwa ya moyo na upuuzi mwingine tunaohangaika nao sisi "tulioendelea" Maisha yao "simple" na si ajabu wanayo furaha na ridhiko kuliko yule ambaye tangu jana hajalala vizuri kwa sababu eti iphone na laptop yake havifanyi kazi sawasawa!
Beauty is in the eye of the beholder, so they say.. Hata hivyo, wanawake wa huko nawaonea wivu...maana they get to see the size of the men's package mapemaa..kwa kuangalia hicho "kifaa cha kujisitiri" unajua hapa muhogo au karoti.. Unachagua vizurii siyo kanyaboya kama huku kwetu..
Kaka Matomdo. Ameeeen. Anon 6:50PM!! Mmhhhhhhhhhhhhh Wengine m'barikiwe tuu. Hivi tukiamua sote kuacha kuvaa minguonguo yao na kujikita kwenye "as is" ya hawa jamaa kuna atakayekubali? Lol Nawaza kwa sauti tuuu
Hata mie nipoona nikawa natamani kuishi katika nchi hiyo hakuna haja ya minguo miiingiii mpaka unapata taabu kuchagua ipi uvae leo. Baadaye nikawaz hao wanaume wakati wa kulala inakuwaje...LOL kweli mila hizi kazi kwelikweli. Shukrani wandugu nimejifunza na mengine ambayo sikuyajua.
Halafu hao wanawake wakienda kushindana katika mbio za dunia mnaanza kelele... ooo ngoja tuwapime kama ni wanawake kweli!!!.
ReplyDeletePia yaonekana huko watu wana allergy ya nguo..., au sijui kuna joto sana
hao wanawake wanaume jamaniiiiiiiiiiiii hi nayo kali
ReplyDeleteBado wanaishi maisha karne gani? vyakula vyao ni matunda mwitu,mizizi na wanyama poli.
ReplyDeleteRaha sana hawana habari ya kulipa rent, bills na mengineyo raha sana,ufisadi huko ni no!no! maisha sawa kwa wote ndio hayo.
Ni kama najiona vileeeeee.
ReplyDeleteSidhani kama nina tofauti na huyo wa upande huu.
Naona aibu mie.
DUH....hii mila ingekuwa kwetu sijui ingekuaje...Anywayss ni vizuri kujiweka kiutamaduni zaidi manake kila mtu anasifia chake..Yasinta such a nice blog...One of your no 1 fan hapa
ReplyDeleteDa Yasinta nawe!
ReplyDeleteHawa hawana mambo ya diabetes, magonjwa ya moyo na upuuzi mwingine tunaohangaika nao sisi "tulioendelea" Maisha yao "simple" na si ajabu wanayo furaha na ridhiko kuliko yule ambaye tangu jana hajalala vizuri kwa sababu eti iphone na laptop yake havifanyi kazi sawasawa!
ReplyDeleteChib waambie!
ReplyDeleteYaani nimecheka hadi basi.Kweli mila nyingine fahari ya wenyewe hahahahaha.Sasa mifadhaiko ikitokea inakuwaje hapo huh
huyo mwanaume wa kushoto ndo kaongeza urembo kabisaa kwenye "kifaa che kujisetiri". funniest indeed
ReplyDeleteBeauty is in the eye of the beholder, so they say..
ReplyDeleteHata hivyo, wanawake wa huko nawaonea wivu...maana they get to see the size of the men's package mapemaa..kwa kuangalia hicho "kifaa cha kujisitiri" unajua hapa muhogo au karoti.. Unachagua vizurii siyo kanyaboya kama huku kwetu..
Kaka Matomdo. Ameeeen.
ReplyDeleteAnon 6:50PM!! Mmhhhhhhhhhhhhh
Wengine m'barikiwe tuu.
Hivi tukiamua sote kuacha kuvaa minguonguo yao na kujikita kwenye "as is" ya hawa jamaa kuna atakayekubali?
Lol
Nawaza kwa sauti tuuu
Hata mie nipoona nikawa natamani kuishi katika nchi hiyo hakuna haja ya minguo miiingiii mpaka unapata taabu kuchagua ipi uvae leo. Baadaye nikawaz hao wanaume wakati wa kulala inakuwaje...LOL kweli mila hizi kazi kwelikweli. Shukrani wandugu nimejifunza na mengine ambayo sikuyajua.
ReplyDeleteKuna mtu anajua ukitaka kihifadhi nyeti ya kiume ya dizaini hiyo unaweza ukakipataje? Na hamu ya kuwa na cha kwangu. SITANIII!
ReplyDeleteSimon agiza au nenda New Papua Gunien bila shaka utapata tu. Ningependa kuona hiyo picha yako na hiyo staili:-)
ReplyDeleteNimepitia tena, duh, ninaumwa na mbavu mie ha ha haaa.
ReplyDeleteNicky, huko hawana mifadhaiko, wote wanafanana, tofauti ni jinsia tu
Tutafik tu
ReplyDelete