Monday, September 28, 2009

HONGERA KWA SIKU HII MUHIMU:- HAPPY BIRTHDAY KAKA SHABANI KALUSE

Miaka inazidi kusonga mbele!!

Kuna msemo usemao " nikikutumia ua litasinyaa, kadi itachakaa, msg utafuta kwa hiyo nimeona nikuombee itafaa zaidi Mungu akupe kheri na akujalie maisha marefu wewe na pia familia yako". Nakutakia siku hii iwe njema kwako. HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA SHABANI.

7 comments:

  1. Namupa hongera Kaluse kwa kutimiza miaka kazaaaaaa...

    ReplyDelete
  2. Dada natoa shukrani za pekee kwako kwa kunipa heshima hii.
    Ni furaha iliyoje kuwa na dada kama wewe, ni ukweli wa wazi kuwa wanablog wote tunajivunia uwepo wako, licha ya makala zako kutueleimisha na kutuburudisha, na wakati mwingine kutuhuzunisha, lakini pia maoni yako katika jamii ya wanablog inaleta chachu na kuibua mijadala ya hapa na pale...

    namshukuru mungu kuwa nipo na nitaendelea kuwepo na kibaraza cha utambuzi kitaendelea kuwaletea malaka za utambuzi kama kawaida....

    dada tupo pamoja.....

    ReplyDelete
  3. Happy birthday bro!nakutakia maisha marefu yenye furaha na upendo.

    ReplyDelete
  4. MUNGU akujaze mibaraka sufufu, akutangamanishe na mema akuepushe na mabaya-wasalaaam

    ReplyDelete
  5. Nami nasema utaishi miaka 100 au zaidi. Kwani Mungu na pia jamii nzima inakupenda sana. Natumaini umekuwa na siku nzuri. Hongera sana kaka Kaluse.

    ReplyDelete