Hivi Afrika iliyokaa kihivi ingekuwa inaonekana kirahisi kuna mtu angehitaji aonyeshwe iko wapi au watu tungeiona tu bila kuhitaji kuonyeshwa iko chobisi gani!!!??:-(
du! almanusura roho intoke wakati siioni tanzania nikaanza kukulaumu, lakini wahenga walisema subira yavuta kheri! ingawa ngoja ngoja huumiza matumbo. asante dada yasinta kwa ziara hii ndefu afrika.
Huyu aliyetengeneza hivi lazima ni mungiki maana kila saa Nairobi, halafu Tanzania sehemu nzuri zote hazijaonyeshwa, sehemu iliyoonyeshwa ni kama kutimiza wajibu tu
Kweli bwana nzuri lakini Tanzania ipo kiduchu.I wish mbongo mmoja ajitokeze arekodi sehemu zote nzuri za Tanzania tuitangaze maana ni kweli watu wengi wanafikiri africa ni vita na magonjwa tu basi,kumbe kuna maisha mzuri pia
Hivi Afrika iliyokaa kihivi ingekuwa inaonekana kirahisi kuna mtu angehitaji aonyeshwe iko wapi au watu tungeiona tu bila kuhitaji kuonyeshwa iko chobisi gani!!!??:-(
ReplyDeletedu! almanusura roho intoke wakati siioni tanzania nikaanza kukulaumu, lakini wahenga walisema subira yavuta kheri! ingawa ngoja ngoja huumiza matumbo. asante dada yasinta kwa ziara hii ndefu afrika.
ReplyDeleteKuna baadhi ya watu huko wanapopaita majuu, wanajua Afrika ni nchi moja tu kama ilivyo Marekani
ReplyDeleteHuyu aliyetengeneza hivi lazima ni mungiki maana kila saa Nairobi, halafu Tanzania sehemu nzuri zote hazijaonyeshwa, sehemu iliyoonyeshwa ni kama kutimiza wajibu tu
ReplyDeleteKweli bwana nzuri lakini Tanzania ipo kiduchu.I wish mbongo mmoja ajitokeze arekodi sehemu zote nzuri za Tanzania tuitangaze maana ni kweli watu wengi wanafikiri africa ni vita na magonjwa tu basi,kumbe kuna maisha mzuri pia
ReplyDeleteome weka za kenia ni mzori sana kweli Lol
ReplyDelete