Saturday, July 11, 2009

KANISA LA BOMBAMBILI SONGEA

4 comments:

  1. Sijawahi kufika mikoa ya kusini mwa Tanzania, lakini majina ya watu, vitu na sehemu huwa yananiacha hoi.
    Bomba mbili!! Du!!

    ReplyDelete
  2. Ni kanisa zuri ,natamani nije kusali hapo siku moja.Nielekeze Yasinta

    ReplyDelete
  3. Mi' naomba ufafanuzi ni kwanini eneo hilo limeitwa Bombambili?

    ReplyDelete
  4. Ni kweli tuna majina ya kushangaza lakini ndo hivyo.

    usihofu nitakuelekeza kaka Nicky.

    Mtani Fadhy Bombambili kama umefika kulenadhani unajua ni kwamba pale kwenye mlemko kufika Songea mjini kunasemekana kulikuwa na mabomba mawili. Natumaini umeelewa.

    ReplyDelete