Wednesday, June 10, 2009

UNYANYASAJI WA WANAWAKE UNAZIDI DUNIANI

Huu ni ujumbe wa leo ambao unaeleza mengi na mengi yanaonekana, haya karibuni msikie na muone.


Kama unataka kunywa pombe basi kunywa kwa starehe yako lakini sio unakunywa pombe na kuanza kupiga wengine au mke wako. Kwa nini kunyanyasana kama unaona ukinywa pombe akili inachafuka basi acha kunywa maji.

1 comment:

  1. Ni kweli pombe kwa starehe zako, iwapo starehe yako ni kuwa mgomvi, basi ni bora ukaonyeshe ubavu wako ndani ya kituo cha polisi au kambi ya jeshi upate furaha zaidi ambayo hutakaa uisahau maisha yako yote.

    ReplyDelete