Hapa Sweden leo ni siku ya akina mama duniani. Nasi leo tumeamua kumpongeza mametu mpendwa ktk blog yake ni sisi Camilla na Erik. Tunampenda sana mametu hasa akiwa na hasira, huwa tunapata kila kitu tutakachotaka.( kwa niaba ya mama)
Ok, basi nami nimepata nafasi ya kusema machache ni kwamba. Najua sehemu nyingine siku hii imeshapita ila hapa Sweden ni leo. nami napenda kuwapa pongezi akina mama wote duniani bila kumsaau mamangu. NAWAPENDA AKINA MAMA WOTE DUNIANI.NA TUTAFIKA TU.
du watoto wamepinda hawa, eti wanampenda mama yao akiwa amekasirika, du, hiyo noma sana. na wewe Yasinta ukikasirika ndio unatoa kila kitu?
ReplyDeleteWatoto mnafanya vizuri kumpenda mama yenu na kumkumbuka namna hiyo. Nimeona picha zenu mkiwa sehemu mbali mbali Ruvuma, hata pwani ya Ziwa Nyasa. Safi sana.
ReplyDeleteYasintaaaa. Nilishasema kuhusu hii siku na napenda urejee yale niliyokueleza Dada
ReplyDeleteUnapendwa na wanao lakini ni wengi wakupendao pia.
Ni kwa kuwa kinaMama (wema) wanastahilki kupendwa kutokana na kupenda kwao
Siku njema
Hongereni sana! Nipo Bongo tayari, naungana nanyi katika siku hii! Peace and Love!
ReplyDeleteHongereni sana....ghafla nimeishiwa maneno...ngoja..,labda niseme
ReplyDeleteiwe siku ya furaha,
ya wewe kuwa na raha,
wala usipatwe karaha,
Mungu amekubarikia.
Unao watoto wazuri,
Ambao kwako ni fahari,
Wape malezi mazuri,
Kesho utajivunia.
Nimejaribu?
Hongereni kina mama wote wa huko Swiden na wanawake wote duniani.
ReplyDeleteDada Yasinta, hii siku inasherehekewa vipi huko, kauli mbiu inasemaje?
Bila shaka unauzoefu na siku hii namna inavyoadhimishwa hapa Tanzania.
Kuna utofauti wowote na namna huku kwetu wanavyoadhimisha.Ninavyojua huku kinamama wengi huwa hawaoni umuhimu wa siku hii kiasi kwamba siku hii inaweza kupita bila hata kinamama wengine kufahamu.
kwanza niseme asanteni sana wote nami pia napenda kusema GONGERENI SANA akina mama.
ReplyDeleteKissima ni kweli akima mama TZ siku kama hii hawaijui kabisa. Ni sawa na siku ya kuzaliwa pia wengine hawajui hata wana miaka mingapi.
Ok ni hivi hii siku hapa ninasheherekewa hivi:- Asubuhi uamukapo unaletewa chakula cha asubuhi pale ulipo, unapata zawadi mi leo nimepata heleni. Yaani hii inakuwa siku yako ni kukaa tu na kupata raha. inakuwa siku ya mama. je umeridhika na maelezo yangu?
I do not understand the language of Tanzania, the houses you've seen on Travel and you are liked, I hope that your desire is true.
ReplyDeleteYou are very charming with your costume
A kiss, Marlow
heyyy we mlongo,
ReplyDeleteNimefurahi sana kusoma blog yako. Hapa Wurzburg wikiendi hii ni Afrika festival, basi tunajinoma kwelikweli kwa kula ugali na na mchicha wa karanga. Lakini jana kulikuwa na Konseti moja ya mwanamke mmoja wa Mali alinifurahisha sana. Kwani ni mmoja wa watetezi wa wakina mama sana. Basi nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kuwa mmoja wa wanawake,na mama ambaye anachukua majukumu yake ya kila siku kama mzazi. Na akina mama wote duniani akiwepo mama yangu pia nawapenda sana.
Mlongo nami pia nakutakia kila la kheri kwa siku hii hjema ya kina mama. na shukrani kwa kutumbuka sisi wakinamama wengine.na hongela sana kwa kupata zawadi ya heleni na nakutakia mapumziko mema kwa siku hii yako you deserve it.
ReplyDeleteAsante kwa kunikumbusha Mama, sijamuona siku nyingi mama yangu, na hii inanisumbua sana..nitajitahidi sana ili niweze kwenda Nzunguni, pale Dodoma alipo ili nikampe salaam,naamini ni muhimu. asante Bi Maisha, kwa kutukumbusha vijijambo.
ReplyDeleteSiku kama hii ni vyema mama zetu kufanya mambo mbali mbali ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto yatima sijui kama huko walifanya hivi ,huku kwetu Tanzania siku kama hii huwa yanafanyika haya nimependa sana kunikumbusha kwani sikuwa na habari juu ya siku hiyo hongera Yansinta Mwana wa Ngonyani
ReplyDeleteSiku kama hii ni vyema mama zetu kufanya mambo mbali mbali ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuwasaidia watoto yatima sijui kama huko walifanya hivi ,huku kwetu Tanzania siku kama hii huwa yanafanyika haya nimependa sana kunikumbusha kwani sikuwa na habari juu ya siku hiyo hongera Yansinta Mwana wa Ngonyani
ReplyDeleteBy Francis Godwin
Nimeridhika dada Yasinta.
ReplyDeletehttp://chumvi.tripod.com/kwetu2.wav
ReplyDeleteusisononeke jiburudishe kidogo
grattis på mors dag yasinta o vad fin du är...
ReplyDeleteIvo serentha and frienda thank you.
ReplyDeleteMongo wa kuWrzburg usengwili ubwelii kawili. Na veve mlongo yungi usengwili koto kuchoka kunigendela.
Israel asante, na natumaini umesema kweli umemkumbuka mamako.
Nawe usiye na jina ahsante sana
Kissima nashukuru kama umeridhika
Dada Mariamu asante.
Nuru, Tack så mycket för allt.....kram!
Na wote kwa ujula nawapendeni na mungu awabariki . TUPO PAMOJA.
It's difficult to find knowledgeable people for this topic, but you seem like you know what you're tаlking аbout!
ReplyDeleteThanks
Feel free to visit my homepage ; loans for bad credit
ӏ have beеn surfing on-line greater thаn three hours theѕe days,
ReplyDeletebut I nеѵeг diѕсοѵered аny fascinatіng aгticle likе уοurs.
It's beautiful price enough for me. Personally, if all webmasters and bloggers made just right content material as you did, the web shall be much more useful than ever before.
My web site - how to stop snoring
I like the valuable info you provide in youг articlеs.
ReplyDeleteΙ wіll bookmark your weblog and check again heге regularly.
I'm quite sure I will learn a lot of new stuff right here! Good luck for the next!
Here is my blog post: instant cash
Right here is the perfect site for anybody who really wants to find out about this topic.
ReplyDeleteYou realize a whole lot its almost tough to argue with
you (not that I actually would want to…HaHa). You definitely put a brand new spin on a subject which has been written about for ages.
Excellent stuff, just wonderful!
Look at my webpage ... Suggested Webpage
Ι like the helpful іnfo you provide іn your artiсles.
ReplyDeleteI'll bookmark your blog and check again here regularly. I'm quіte ceгtain I'll learn plenty of new stuff right here! Best of luck for the next!
my web blog - payday loans online
This pieсe of ωгiting offers
ReplyDeleteclear idea in support of the new people of blogging,
that actually how to do blogging anԁ site-building.
Feеl free to visit my web-site :: small loans
my site - small loans
It's the best time to make some plans for the future and it'ѕ timе to
ReplyDeletebe happy. I've read this post and if I could I desire to suggest you few interesting things or tips. Perhaps you could write next articles referring to this article. I desire to read even more things about it!
my web page: payday
Еxcellеnt beаt ! I woulԁ
ReplyDeletelіke to apρгеntiсе while you amenԁ
your web ѕite, how can і subѕсribe for a blog wеb site?
Thе acсount hеlped me a аcсeрtablе deal.
I had been a little bіt acquаinteԁ of
thіs yоuг broadcаst provіded bright clear
іdеa
Alsο visit my web ρаge payday loans uk
It's remarkable designed for me to have a website, which is valuable designed for my experience. thanks admin
ReplyDeleteLook into my site ... Full Post
Hi, this weekend is nice in favor of me, because
ReplyDeletethis moment i am reading this impressive educational piece of writing here at
my home.
Here is my website ... Our site
whoah this blog iѕ exсellent i really like гeаding your рosts.
ReplyDeleteStay up the good worκ! You undeгѕtanԁ,
many peoplе аre searchіng round for this info,
you cаn aid them gгеаtly.
Mу ωeb page - Same Day Payday Loans
Hi terrific website! Does running a blog similar to this require a great deal of work?
ReplyDeleteI've absolutely no knowledge of computer programming however I was hoping to start my own blog soon. Anyhow, should you have any suggestions or tips for new blog owners please share. I understand this is off subject but I just needed to ask. Kudos!
my site ... book of ra app ipad
Magnificent beat ! I would like to apprentice at the same time
ReplyDeleteas you amend your site, how could i subscribe
for a blog web site? The account aided me a appropriate deal.
I had been a little bit acquainted of this your
broadcast offered shiny clear idea
my web-site: bokk of ra