Friday, May 1, 2009

RUHUWIKO 2009 KUTIA MBOLEA KWENYE SHAMBA LA MAHINDI

Niwapo nyumbani huwa nafurahia sana maisha haya ya kujishughulisha na shughuli ambazo nilifanya nilipokuwa mdogo. Nadhani hapo mnaweza kujua huyo mwingine ni nani naye anajitahidi kujifunza mila na desturi.

7 comments:

  1. Huu msimu ulikuwa ni wa kiangazi au ni masika iliyokuwa na upungufu wa mvua?

    ReplyDelete
  2. KIssima kakangu; hapa ilikuwa ni mwezi wa pili na mvua ilikuwa adimu kidogo nadhani unakumbuka.

    ReplyDelete
  3. Kazi kweli kweli!
    Hayo mahindi mtani bila shaka sasa yameshakomaa mwenyewe hupo. Nielekeze huko nikavunje maana napenda ya kuchoma ama kande za mahindi mabichi na maharage mabichi ama njegere mbichi.

    ReplyDelete
  4. ha ha ha haaaa. Nilijua mtani utasema hivyo kwani we Ngande ndo wenyewe. mazebele haya Nenda tu ukavune

    ReplyDelete
  5. Koero, umepata kabisa ni Camilla. Ehe karibu tena mdogo wangu nimekumiss kweli

    ReplyDelete
  6. Mama na mwana hao!!!!!!!!!!!!
    Safi saaana

    ReplyDelete