Monday, May 18, 2009

MISEMO /ORDSPRÅK

Ngoja leo tuangalia misemo yetu nimeona niandike lugha zote mbili.


Kiswahili: Kwa kila dakika uwepo na hasira, unapoteza sekunde sitini za furaha yako.
Svenska/kiswidi: För varje minut som du är arg, förlorar du sextio sekunde av glädje.

Kiswahili: Ni afadhali kupoteza maneno kwa uzuri kuliko kukusanya.
Svenska/Kiswidi: Det är bättre att slösa med vänliga ord än att samla på dem.

Kiswahi: Kila kitu kinahitaji uamuzi.
Svenska/kiswidi: Mycket handlar om beslutsamhet.

Kiswahili: Watu wengi wanataka kuwabadili wengine kuliko kujibadili wenyewe
Svenska/Kiswidi: Många människor vill hellre förbättra anda än sig själva

Kiswahili: Si muhimu wapi unatoka isipokuwa wapi unakwenda.
Svenska/Kiswidi:Det viktigaste är inte vårifran man kommer, utan var man går.

Kiswahili: Tupa likusumbuala, pokea lichangamshalo
Svenska/Kiswidi: Släng ut det som stör, led in det som stimulerar.

Kiswahili: Anayeacha kuwa bora anaacha kuwa mwema.
Svenska/Kiswidi: Den som slutar att bli bättre slutar att vara bra

Kiswahili: Kama hali inakuwa mbaya rudi nyuma na uangalie vizuri
Svenska/Kiswidi: När allt verkar hopplöst ta då ett steg tillbaka och lift blicken.

14 comments:

  1. jättebra o inspirerande ordspråk..tack yasinta

    ReplyDelete
  2. Tacka dig så mycket för de kloka ordstäven.
    Twihongedza swe!

    ReplyDelete
  3. Asate kwa kutukumbusha fikra za misemi yenye kuelimisha kwakweli nimefurahi sana dada yangu Yasinta

    ReplyDelete
  4. Da! Dada Yasinta na wengine nawaôñéä wivu kwelikweli namna mnavyozicharaza hizo lugha za watu(kiswedish).Nafarijika sana, ni jambo la kujivunia mno.

    Misemo imenivutia sana,hakika nimeikubali na hii ndio ya kizazi kipya hasa.

    ReplyDelete
  5. Mmmmh....Yasinta hapo sikuwezi kwa lugha tuu!!hata mimi nakuonea wivu ni vizuri sana mtu kuongea lugha nyingi kweli inapendeza,hongera sana na endelea kujifunza nyingine zaidi.

    ReplyDelete
  6. Nuru tack så mycket:-)

    Fadhy! kwanza niseme Kamwene be, na naona nawe haupo nyumba jättebra.

    Fita asante kwa kuona hivyo na pia nami nafurahi kama umefurahi

    Kissima nafurahi kusikia kuwa una ona wivu kwani bila wivu hakuna maendeleo. Asante kama umefarijika.

    Dada Passion4Fashion.TZ mwenzako ludha huwa hazikawii kukaa katika kichwa changu na ni kweli hapa nipo mbiona kujifunza lugha nyingine. Nafurahi kuona wengi mnaona wivu basi najua kutakuwa na maendeleo sana. Asante

    ReplyDelete
  7. Yeah, kwa hasira sasa na mimi naanza kujifunza ki Jerumani na Kiitaliano.hahahahaaa!!!

    ReplyDelete
  8. Poa dada ila ujue kesho ntakuandikia kispanish si unajua najua hicho pia au niandike kingoni

    ReplyDelete
  9. Ni Misemo Mizuri.Si kusoma na kuacha tu bali Muhimu kuzingatia na kuifanyia kazi. Hongera sana.

    ReplyDelete
  10. kiluvyapub Asante sana. Huwa napenda kucheza na lugha ni raha sana

    ReplyDelete
  11. ''Kama hali inakuwa mbaya rudi nyuma na uangalie vizuri'' -ningefurahi kweli kama hii kitu ingekuwa inawezekana kila mara.:-(

    ReplyDelete
  12. Simon kwa nini isiwezekana ukiamua inawezekana tu kila kitu ni uamuzi au?:-(

    ReplyDelete
  13. Nimeyapenda Mandazi jinsi yalivyo
    Nashukuru kwa kupita kwangu Yasinta
    Ngonyani.Karibu tena na tena

    ReplyDelete
  14. kennytz! Kwanza nami nasema karibu tena na tena hapa kibarazani kwangu. Na kuhusu maandazi we agiza tu yatatumwa uliko:-)

    ReplyDelete