hapo umenikamata, hiyo ngoma naicheza sana ninapokuwa nyumbani, ila huku ughaibuni ndio naikosa sana. asante kwa kunipeleka nyumbani mitaa ya Peramiho (kuchiperamihu).
sana, halafu hako kawimbo ka ibesa mau, wanawake "eti" walikuwa kuwapiga chini wanaume, tehetehe, ibazsa mau, ibesa dadi, vagosi va mundila ibesa, ena, ena, enaaaa. hata hivyo pamoja na kubesa mau, na kubesa dadi, vana vya mumatutu vavili vamahele sana.
Mdala wa bambu apo uniikishi kunyumba kweli kweli kulilambu, kumwanamonga,na uwo wimbo wa ibesa mau ndio umenifkisha kabisaaaaaaaaaaaa, kule nikiondoka kidogo nyuma mwanisengenye we, na kulala kwa foleni kula kwa foleni na kutembea shoto kulia shoto kulia,apo kiuno kinamwaga ata mangatungu yanasauliwa siku iyo, Dada yangu mlongo asante kwa kunikumbusha kunyumba.
hapo umenikamata, hiyo ngoma naicheza sana ninapokuwa nyumbani, ila huku ughaibuni ndio naikosa sana. asante kwa kunipeleka nyumbani mitaa ya Peramiho (kuchiperamihu).
ReplyDeleteNa wimbo wake: ibesa mawu, ibesa dadi wagosi va mdila ibesa ena ena ena........ nitangatilayi basi
ReplyDeletesana, halafu hako kawimbo ka ibesa mau, wanawake "eti" walikuwa kuwapiga chini wanaume, tehetehe, ibazsa mau, ibesa dadi, vagosi va mundila ibesa, ena, ena, enaaaa. hata hivyo pamoja na kubesa mau, na kubesa dadi, vana vya mumatutu vavili vamahele sana.
ReplyDeleteEna na sio kunyumba yitu tu hata kuni tena wamahele tu mwenga!
ReplyDeleteNajua watu mtasema sasa hapa nini basi tunasema cha nyumbani kidogo labda nisema kama Kamala nitaanzisha blog ya kilugha:-)
wakihitaji tena kununua sare ya kanga au vitenge waambie tuwasiliane si unajua tena ndio line yangu?
ReplyDeleteUsihofu dadangu ntakuambia kwani kucheza lizombe bila kanga au vitenge ni kazi bure kabisa.
ReplyDeleteMimi nilikuwa hapo kulia baada tu ya picha nalinda ugimbi.:-)
ReplyDeleteNilijua tu hutakosa ugimbi maana huwa tunakuwa wote ktk vikao halafu leo kuna ulanzi pia:-)
ReplyDeleteSimon wewe kiboko
ReplyDeleteHello sweet Yasinta, I like the colors of your costumes are the mirror of your soul
ReplyDeleteA hug, Marlow
Mdala wa bambu apo uniikishi kunyumba kweli kweli kulilambu, kumwanamonga,na uwo wimbo wa ibesa mau ndio umenifkisha kabisaaaaaaaaaaaa, kule nikiondoka kidogo nyuma mwanisengenye we, na kulala kwa foleni kula kwa foleni na kutembea shoto kulia shoto kulia,apo kiuno kinamwaga ata mangatungu yanasauliwa siku iyo, Dada yangu mlongo asante kwa kunikumbusha kunyumba.
ReplyDelete@Mumyhery: :-)
ReplyDelete