Thursday, April 30, 2009

MAENDELEO YA TEKNOLOJIA


Angalia jinsi hizo simu zinavyotofautiana ni maendeleo makubwa kutoka kwenye mraba wa sabuni (foma limau) mpaka size hiyo ndogo na nadhani kuna ndogo zaidi jina nisaidieni

1 comment:

  1. Hizi simu kubwa kubwa (mshindi type) inasemekana ndizo salama kuliko uto tudogo dogo. Eria hiyo inasaidia kupokea mawimbi vizuri kuliko tule tudogo tusiko na eria...

    ReplyDelete