Unaweza kuikuta hii picha kwenye postcards,kwanini mwafrika anapofanya kitu fulani wenzetu hupenda kukipeleka kwao na kuanza kuishangaa na kuto amini mbona sisi au mimi sijawahi kuona postcard zenye picha zao?
Nimeipenda picha hii, na iwe ktk postcard ni nzuri zaidi.
Ujue inapofika suala la utamaduni, watanzania huwa tunakalili lazima picha ya mmasai aoneshwe yupo na wanayama wengine huko porini, baadaye watu wa ughaibuni wanafikia kipindi kujua Afrika ni wanyama, mapori tu,na watu wanaishi na wanyama tu, yaani kama ile movie ya Bushman, Gods Must Be Crazy.
MakuliloJr, Karibu sana kijiweni kwangu ni kweli utamaduni ni kitu kizuri. lakini kuna wakati wanasahau kuwa sisi pia ni watu.
Koero, inawezekana ni washamba na pia inawezekana nao wanaipenda au ni tabia tu.
Halafu ni kwamba sisi waafrika tunadumisha sana utadaduni wetu. Binafsi nasema mimi ni mwafrika ambaye naupenda sana utamaduni wangu na sitauacha kabisaa
Nimeipenda picha hii, na iwe ktk postcard ni nzuri zaidi.
ReplyDeleteUjue inapofika suala la utamaduni, watanzania huwa tunakalili lazima picha ya mmasai aoneshwe yupo na wanayama wengine huko porini, baadaye watu wa ughaibuni wanafikia kipindi kujua Afrika ni wanyama, mapori tu,na watu wanaishi na wanyama tu, yaani kama ile movie ya Bushman, Gods Must Be Crazy.
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
Hata mimi nimeipenda hiyo picha, hakika ni nzuri, na kama wazungu wanaishangaa basi mimi nawaona kuwa niwashamba.
ReplyDeleteMakuliloJr, Karibu sana kijiweni kwangu ni kweli utamaduni ni kitu kizuri. lakini kuna wakati wanasahau kuwa sisi pia ni watu.
ReplyDeleteKoero, inawezekana ni washamba na pia inawezekana nao wanaipenda au ni tabia tu.
Halafu ni kwamba sisi waafrika tunadumisha sana utadaduni wetu. Binafsi nasema mimi ni mwafrika ambaye naupenda sana utamaduni wangu na sitauacha kabisaa