Sunday, March 22, 2009

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE

Anayekataa kufundishwa anajidharau mwenyewe,
Bali anayekubali maonyo hupata busara.

Aendeye kwa unyofu huenda salama,
Bali apotoshaye njia zake atajulikana.

Malezi bora ya watoto wetu ndio msingi imara wa taifa la kesho.

NA PIA

Binadamu tunapanga mipango yetu,
Lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi Mungu.

Ana heri mtu yule amsikilizaye,
Akisubiri siku zote mlangoni pangu,
Akingoja penye vizingiti vya milango

5 comments:

  1. Yasinta, haya ni maneno ya Mfalme Daudi katika Zaburi au ni maneno yako mwenyewe? Ni maneno ya busara. Jumapili njema kwako pia pamoja na familia yako...

    ReplyDelete
  2. Mi nikutakie usiku mwema na mwanzo mzuri wa jumatatu kwa mishe nyingi za maisha.

    MAKULILO Jr,

    ReplyDelete
  3. asanteni sana wote nami nawatakieni kila la heri hasa kwa kuanza wiki mpya.

    ReplyDelete
  4. vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg

    ReplyDelete