Sunday, March 8, 2009

NAPENDA KUWATAKIA WOTE JUMAPILI NJEMA KWA UJUMBE HUU

Macho ya huruma hufurahisha moyo,
habari huburudisha mwili,
Kuchukiana huendekeza fitina,
Kupendana husitiri makosa yote.

Nilikuwa mgonjwa ukaja kuniona
Nilikuwa na njaa ukanilisha
Kumhudumia mgonjwa ni wito.

Jumapili njema jamani:-)

4 comments:

  1. Jumapili njema kwako pia rafiki yangu!

    ReplyDelete
  2. Asante sana na wewe pia,maneno kama haya lazima yanatoka kwa mtu mwenye upendo,ubarikiwe sana mpenzi.

    ReplyDelete