Sunday, March 15, 2009

KARIBUNI CHAI BORA+JUMAPILI NJEMA



Ukitaka kukosana nami basi ninyime chai, tena bila sukari hapo tutakosana sana. Kama wasemavyo wakati wowote ni wakati wa chai.

3 comments:

  1. kwa nini unatutafutia njia ya kukosana na wewe na sio ya kuendelea kupatana?

    kwanini unasema ukitaka kukosana na...

    badala ya ukitaka kupatana, kuelewana na mimi nipatie chai hii?
    y negative? au kwa sababu unajiona mdhambi na hivyo uko tayari kumkosea Mungu any time?

    ni swali

    ReplyDelete
  2. Ni mazoea tu kusema hivyo. Naweza nikaseama ukitaka kupatana nami basi nipe chai bila sukari.

    ReplyDelete
  3. yasinta,

    positive thnking matters a lot. maneno yetu na maapizo tunayoyafanya huja kugeuka ukweli bila sisi kujua na hivyo kutuathiri kwa kiwango kikubwa mmno.
    ni lazima tuzidhibiti kauli zetu muda wote na saa zote bila kuchoka kwani tukitamka maneno, yanaingia moja kwa mooja kwenye mawazo yetu ya kina na baadaye kututengenezea nguvu inayokuja kutupatia matokeo kadhaa

    so ni lazima tujue tunafikiri na nilazima tuwe positivu katika mawzo yetu, matendo yetu na maneno yetu.

    ukiangalia siri ya mafanikio ya akina jizazi aka Yesu, muda woote alikuwa postivu na ndiyo siri ya nguvu za kimungu kukaa ndani yake

    hata sisi tukiwa positivu, tutafika mbali kimungu kuliko ibada lukuki na mawazo ya negativu.

    ReplyDelete