Dada Yasinta,Nilidhani samki tu ndio wanookwa hivi.Huu ni ubunifu mzuri.Ahsante kwa maarifa haya
Nimebeba chai ya rangi yenye tangawizi na iliki, naruhusiwa kukaribia?
Shabani, unajua kuna wakati unajikuta umebuni kitu. Hasa ukiwa kwenye sehemu ambayo ni ngumu kupatikana hicho kitu.Subi, unakaribishwa sana kushiki nasi ila hiyo chai sitaki iwe na sukari nataka bila sukari(CHINGAMBU)
Asante Sister kwa kunitembelea karibu sana anytime toast unaipatia chai ya maziwa fresh asubuhi raha sana
Yasinta, tunafanana mengi, hilo la chai kutokuwa na sukari pia!
Mzee wa taratibu nawe karibu sana. Pia hiyo chai ya maziwa na toast nawe unakaribishwa wala usiogope kuna sukari ya wageni.Subi, sikujua kuwa nawe hutumii sukari basi ukinitembea na nikukutembea mambo swali kabissa
Dada Yasinta,
ReplyDeleteNilidhani samki tu ndio wanookwa hivi.
Huu ni ubunifu mzuri.
Ahsante kwa maarifa haya
Nimebeba chai ya rangi yenye tangawizi na iliki, naruhusiwa kukaribia?
ReplyDeleteShabani, unajua kuna wakati unajikuta umebuni kitu. Hasa ukiwa kwenye sehemu ambayo ni ngumu kupatikana hicho kitu.
ReplyDeleteSubi, unakaribishwa sana kushiki nasi ila hiyo chai sitaki iwe na sukari nataka bila sukari(CHINGAMBU)
Asante Sister kwa kunitembelea karibu sana anytime toast unaipatia chai ya maziwa fresh asubuhi raha sana
ReplyDeleteYasinta, tunafanana mengi, hilo la chai kutokuwa na sukari pia!
ReplyDeleteMzee wa taratibu nawe karibu sana. Pia hiyo chai ya maziwa na toast nawe unakaribishwa wala usiogope kuna sukari ya wageni.
ReplyDeleteSubi, sikujua kuwa nawe hutumii sukari basi ukinitembea na nikukutembea mambo swali kabissa