Dada Yasinta, nimeamua kuongeza idadi ya wanablog. mimi ni mgeni, nimepita hapa kujitambulisha naipenda sana kazi yako. karibu kwenye kijiwe changu, unisaidie kukiboresha.
Barack Obama nimesema hivyo kwa vile picha zake siku hizi ndio hutumika kuonyesha kwamba watu tunatoka mbali pia ni picha ambayo wanaoiweka mtandaoni wanaamini kwamba wengi tutaitambua kirahisi.
Huyu kakaa kishairi saana huyu. Nadhani atakuwa Mwananchi Yeye kaka Fadhy Mtangi. Dada hapo kama sipati zawadi basi hata makofi. Hahahahahaha. Safi sana kuwa na taswira kama hizi. Blessings
Sorry kwa typing Error (nadhani nilikuwa nawahi kujibu nipate zawadi ya kufungia mwaka). Ni Fadhy Mtanga huyu. Hii picha naipenda saana maana inanikumbusha zangu nyingi. Swali ni kwamba wanasme nyota njema huonekana asubuhi, lakini hutambulika saa ngapi? Ukiwa unaimba imba utotoni ukaja kuwa mwimbaji watasema alianza zamani ama nyota yake ilionekana asubuhi, lakini ukija kuwa nesi hawatasema. Ni kweli kuwa nyota yaweza kuonekana na kutambulika asubuhi ama yaonekana asubuhi na kutambulika jioni? Na je, hatulazimishi vitu kuendana na "matokeo" ya wakati huo? Simo, mchanga wa pwani huo
NAJARIBU KUKUMBUKA, LAKINI WAPI, HEBU NIKUMBUSHE BASI DADA YASINTA.
ReplyDeleteYasinta upooooooo????? ngoja kwanza HEBU NIPATIE MJI BASI
ReplyDeleteDada Yasinta, nimeamua kuongeza idadi ya wanablog. mimi ni mgeni, nimepita hapa kujitambulisha naipenda sana kazi yako. karibu kwenye kijiwe changu, unisaidie kukiboresha.
ReplyDeleteni mimi Koero Mkundi
Shabani jaribu rena kufikiri na kutazama kwa makini nadhani unamfahamu sana tu huyu mtoto.
ReplyDeleteMarkus sijakuelewa!
Koero asante sana kwa kunitembelea Kijijini kwangu na KARIBU sana
Barack Obama
ReplyDeletenimesema hivyo kwa vile picha zake siku hizi ndio hutumika kuonyesha kwamba watu tunatoka mbali pia ni picha ambayo wanaoiweka mtandaoni wanaamini kwamba wengi tutaitambua kirahisi.
ha ha ha watu bwana wanajua sana kuchekesha. Kublog ni raha sana maana kila mtu ana uhuru wa kusema atakacho. ha ha ha haaa
ReplyDeleteHuyu kakaa kishairi saana huyu. Nadhani atakuwa Mwananchi Yeye kaka Fadhy Mtangi. Dada hapo kama sipati zawadi basi hata makofi. Hahahahahaha.
ReplyDeleteSafi sana kuwa na taswira kama hizi.
Blessings
Sorry kwa typing Error (nadhani nilikuwa nawahi kujibu nipate zawadi ya kufungia mwaka). Ni Fadhy Mtanga huyu. Hii picha naipenda saana maana inanikumbusha zangu nyingi. Swali ni kwamba wanasme nyota njema huonekana asubuhi, lakini hutambulika saa ngapi? Ukiwa unaimba imba utotoni ukaja kuwa mwimbaji watasema alianza zamani ama nyota yake ilionekana asubuhi, lakini ukija kuwa nesi hawatasema. Ni kweli kuwa nyota yaweza kuonekana na kutambulika asubuhi ama yaonekana asubuhi na kutambulika jioni? Na je, hatulazimishi vitu kuendana na "matokeo" ya wakati huo?
ReplyDeleteSimo, mchanga wa pwani huo
Huyu ni wewe. bisha nikukong'oli
ReplyDeletemwaipopo umekosa huyo mtoto si mimi vp tumefanana sana?
ReplyDeleteSi katika kubahatisha tu nipate zawadi ya sweden
ReplyDelete